Nasubiri mabadiliko makubwa katika elimu ikiwemo rais kupiga marufuku watoto wa mawaziri,wabunge,makatibu wakuu na watendaji wote pamoja na viongozi wote wa serikali kusoma nj'e ya nchi na shule binafsi
anawalipia ada? ungejua nayeye wanajua dili zake zote usingekuwa na mawazo mgando hayo.