William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Well, heshima mbele sana wakuu wote JF, nipo Dodoma toka majuzi kwenye ukingo wa mbio za Ubunge wa EAC, jana usiku Royal Hotel nilifanikiwa kukutana uso kwa uso na Mbunge Mpya wa Chadema Kamanda Nassari, na leo tena Bungeni nimeshuhudia kuapishwa kwake na pia kupata muda wa kuongea naye na kupiga sana picha naye, I was glad kujua kwamba ni M-JF!
- HOWEVER: Ninasema hivi in Ubunge wa Nassari, ni ushindi kwa Vijana I mean the kid is just 26 years old, and here he is leading, hebu look back ulipokuwa 26 years old then ulikuwa wapi na unafanya nini? ndio utaelewa kwamba sasa ni wakati wa Vijana, sasa hii dhana ya Vijana iende kwenye kona zote za Taifa, it does not matter Nassari anatoka chama gani, it is the message ya the big picture hapa TAIFA KWANZA!
- MUCH RESPECT CDM, SALUTE NASSARI! NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William.
Sawa William. Ujana si hoja, tunasubiri utendaji ndo tutajua kama ni dogo jinga au dogo janja.
Ndivyo wazee wetu wapenda madaraka walivyo tuaminisha kwa miaka mingi. Vijana ndiyo wana tengeneza asilimia kubwa ya workforce ya nchi yoyote so huwezi waita taifa la kesho.Vijana ni Taifa la Kesho!!!!!
Mbona tunajua lengo lako ni nini?
mi sikatai kuwa ni kijana ila baba zenu kina malecela na wengineo ndo wameua ndoto zetu mpaka leo mwaka wa 4 tumemaliza vyuo vikuu hatuna hata tempo ya kufundisha primary schools kutwa tunashinda JF na neti za kuchakachua
nyie mmekulia mliokulia nje baba zenu wanawachomeka chomeka tu kwenye nyadhifa ovyo ovyo.. p*mb*vu zenu we unafikiri uyo nassari hakuhujumiwa mwaka 2010?? kinachokufanya umshangilie leo ni nini na umagamba wenu...
uyo uyo dingi yako aliyeshindwa na lusinde baada ya kushindwa tu akafukia visima vyote alivyowachimbia wana mtera
sasa kama mtoto wa nyoka sio nyoka ni nini??
au unataka kutuambia una mfill sana nassari kuliko dingi yako??
tukukuuliza mapungufu ya dingi yako uko tayari kuyaataja??
na ngojen 2015 wwe, january makamba, hussei mwinyi, riziwan kikwete na wengine ndo kushnei...
Vijana ni Taifa la Kesho!!!!!
I think the main point is not UJANA, bali UWEZO..., does not matter if he/she is 18 or 68 kama anao uwezo inabidi apewe (na sio kupewa kugombania madaraka).
Pia depends with posts (kuna posts ambazo zinahitaji experience na tuone umeshafanya nini) tusijepata viongozi kama kina Lau Masha au Urais wa Bongo Fleva
Mbona tunajua lengo lako ni nini?
Sasa hivi mtamuua nani kwenye family yenu ili wewe upate ubunge mzee???
Mimi siwezi kuamini huu upenzi kwa kutumia mgongo wa ujana, juzi wabunge wamekatwa mapanga, vijana wamemwagiwa tindikali AM hatujasikia kina Mwigulu, Nape, Januari wala wewe mnaojipambanua kuwa ni vijana wa CCM kukemea. Tusidanganyane mchana kweupe.- Classic ndio tatizo letu Tanzania, tumechanagnywa sana na wanasiasa mpaka tumefikia mahali ni vigumu kuamini anything!
William.
Anatafuta kura za Chadema,48 si haba!!!!! Sema MahakamaIKULU imempunguzi kura ya Lema