Hivi hii nayo habari? acheni uzezeta basi wajameni!
Na wafuasi wenu waache kutukana watambuwe kila MTU na kila chama jukumu ni moja tu. Kujenga Taifa la Jamhuri ya MUUNGANO WA TANZANIA
Mbwa akingia masikitini iweje isiwe habari?Hivi hii nayo habari? acheni uzezeta basi wajameni!