Nassari (MB) aipongeza serikali kwa kusambaza umeme vijijini

USILALE

Member
Dec 17, 2013
18
0
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameishukru serikali ya Tanzania kwa kuanza kupeleka umeme vijijini hasa Jimboni mwake. Ametoa shukurani hizo bungeni kwenye kipindi cha maswali na majibu.
 
Na wafuasi wenu waache kutukana watambuwe kila MTU na kila chama jukumu ni moja tu. Kujenga Taifa la Jamhuri ya MUUNGANO WA TANZANIA
 
Sasa kama kauli ya kila mbunge inaanzishiwa thread, nadhani tutalazimika kuformat server siku chachei tu zijazo
 
kwani si alitaka taifa la kaskazini?serikali gani ya tanzania ambayo anaishukuru?(limtokalo mtu ni lile lilomjaa rohoni kwake)
 
mbona dr silaa anapinga umeme vijijin ati bado nyumba ni za nyasi vijijini(aliyasema hayo wakati akihutubia wananch tabora) kwa hiyo kodi ya watanzania inapotea. huyu mzee naona anaelekea pabaya sasa, ana tena dira
 
Na wafuasi wenu waache kutukana watambuwe kila MTU na kila chama jukumu ni moja tu. Kujenga Taifa la Jamhuri ya MUUNGANO WA TANZANIA

na wakwenu je wanao tetea hata ubakaji mbona hujawaongelea?? Au hii ndio umeona point?? Chadema hatuna chuki kama ccm wanao panga mikakati inayo shindwa kila siku ya kukiua chadema ,anzeni ninyi kwanza kuwa waungwa na mkubaliane na mabadiliko hamtaona mwanachadema yeyote akilalamika kuhusu chama cha kijani,, ila mkiendelea na hiyo mikakati yenu ya kukiua hadema msitegemee kuungwa mkono hata siku moja,
 
Mgamba hupenda kauli moja tuu kwa Mbunge wa CDM ili roho yao ipone..Na ikitoka kwa Mbowe au Dr.Slaa, au Lema itakuwa balaa kabisa ktk nyumba ya CCM.watasuuszika roho sana.watarudiadia rudia mwaka mzima.Watawasifu sana.

Hao ndio CCM Bila CDM hawana direction, na dira yao ni CDM.
 
Back
Top Bottom