Nassari Azidi kuchangiwa Arumeru

God bless Nassari

Huna jipya wewe bila shaka wewe ndiwe uliyemkimbia mmeo wa ndoa na kumfuata Padre Slaa,maandiko yamesema wazi kama ndiwe wote wewe na mumeo ni wazinifu,hatuwezi peleka ikulu,wachafu kama nyie!
 
Nitaendelea kuripoti kila kinachojiri katika kampeni
uliahidi ukifika huko utammaliza Mwigulu mbona mpaka sasa hujasema chochote au ulikuwa unamtishia nyau au mmeyamaliza kikubwa i mean umepokea rushwa??????
 
Huna jipya wewe bila shaka wewe ndiwe uliyemkimbia mmeo wa ndoa na kumfuata Padre Slaa,maandiko yamesema wazi kama ndiwe wote wewe na mumeo ni wazinifu,hatuwezi peleka ikulu,wachafu kama nyie!

Mods please this is personal attack sheria za JF ziko wazi kabisa.Afungiwe maisha!
 
Huna jipya wewe bila shaka wewe ndiwe uliyemkimbia mmeo wa ndoa na kumfuata Padre Slaa,maandiko yamesema wazi kama ndiwe wote wewe na mumeo ni wazinifu,hatuwezi peleka ikulu,wachafu kama nyie!
usihukumu usije ukahukumiwa, kipimo umpimiacho mwenzio ndio hichohicho utapimiwa wewe, toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzio kazi ya kuhumu ni ya mungu usichukue mahali pake kuhumu, je wewe una usafi gani wa kuwaita wengine wachafu?? politically attend issues not personalities!
 
Nani mwizi kati ya yule anayechangisha kipindi cha kampeni na kuzikataa ruzuku au wanaopora aridhi za wananchi huko arumeru na gairo na kibaigwa.

ccm-ukiwafundisha hawafundishiki,ukiwaelewesha hawaelew,wakifikir hawafikirii vyema! tusibishane nao tusije fanana nao.ukibishana na mpumbavu utafanana nae. waache wakashifu kila kitu,sie tuendelee na harakat za ukomboz.angalia hoja zako humu taabu tupu.
 
Nimekosa neno la kukujibu ila wewe ni @#$%^&* wa head!
 
Pole mkuu wewe ni mstaarabu vya kutosha kujibizana na watu wanaohitaji kuwaona madaktari wa akili kule mirembe.
 
Tunakihujumu Chama. Tupunguze mshahara wa SLAA toka mil. 12 hadi saba kwa mwezi ili chama kisiwaongezee mzigo wa wananchi kwa kutembeza bakuli kikiomba pesa za kampeni
Ndugu yangu CHADEMA sio CCM na mahela ya wizi, hata Marekani Obama alichangiwa na watu wa kawaida one dollar kampeini. Kwa njia hiyo tutaepuka rushwa tuweke watu wetu wenyewe si mamluki, mapandikizi!!!!!!

 
Nassary anachangiwa kama Obama...

Magamba.com humu JF wanatoka povu sana kwa vile wanajua hizo hela wananchi wamechukua wa Mwigulu na kuzipeleka CDM. Tunakoelekea CCM watagarimia kampeni zote mbili na kuambulia manundu huku Nassary akitinga mjengoni free
 
Mimi nilichangia siku ya uzinduzi lakini nimejipanga kutoa mchango wangu ijumaa lazima tuwangoe hawa magamba huko Arumeru....
 
Wazee huyu ni Ritz kabadili ID, pole kaka mwaka huu mtajua CHADEMA NI KITU GANI!!!!!!!!

 
pesa za ruzuku wale mbowe na slaa halafu wakati wa uchaguzi utembeze bakuli! Hii imekaaje siyo kuwaibia wananchi?
mbwa wewe hujui siasa.....we nataka jaluo iendelee teswa na ccm ya mafisadi???senchiiiiiii....dog.....jingaweweeeeeee......mi tapigia kura chadema pale usa leganga
 
mimi tayari nimechangia elf 20 kwa MPESA. Namba mojawapo ya kuchangia ni 075775333. Kuna thread ilitolewa ikiwa na kicha CHANGIA CHADEMA utapata namba zingine zote ni za CDM ARUSHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…