kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,445
Mkuu Kipara Kipya,wahenga walisema" Akili ni nywele,kila mtu ana zake"Baada ya nassari kukaa kimya bila kuonekana kwenye vyombo vya habari kuhusu chama chake cha chadema mpaka ilipelekea chadema kuanza kuondoa imani kwake na kuzuka uvumi kuwa yupo mbioni kujiunga na ccm na hiyo ilichagizwa na madiwani wa kwenye jimbo lake kujiuzulu na kuhamia ccm
Sasa inaonekana nassari yupo katika mkakati wa kurudisha imani yake kwa wana chadema walioipoteza na kuanza kubuni mipango ya kupambana na mkuu wa wilaya na kutoa ushahidi wa video na yote ni njia ya kuwazima na kuwapoteza chadema wasifikirie lililopo kichwani mwake na mkakati wake kwa kiasi kikubwa amefanikiwa!
Natumaini muda ukifika nassari ataweka wazi kumuunga mkono JJPM
Vita ni akili
Siasa mpaka 2020!
Acheni ujinga hapa, mwambieni Mnyeti ajiyokeze ajibu mapigo kama ana ubavu huoBaada ya nassari kukaa kimya bila kuonekana kwenye vyombo vya habari kuhusu chama chake cha chadema mpaka ilipelekea chadema kuanza kuondoa imani kwake na kuzuka uvumi kuwa yupo mbioni kujiunga na ccm na hiyo ilichagizwa na madiwani wa kwenye jimbo lake kujiuzulu na kuhamia ccm
Sasa inaonekana nassari yupo katika mkakati wa kurudisha imani yake kwa wana chadema walioipoteza na kuanza kubuni mipango ya kupambana na mkuu wa wilaya na kutoa ushahidi wa video na yote ni njia ya kuwazima na kuwapoteza chadema wasifikirie lililopo kichwani mwake na mkakati wake kwa kiasi kikubwa amefanikiwa!
Natumaini muda ukifika nassari ataweka wazi kumuunga mkono JJPM
Vita ni akili
Siasa mpaka 2020!
Atajibu nini vitu vya mazinga ombwe!Acheni ujinga hapa, mwambieni Mnyeti ajiyokeze ajibu mapigo kama ana ubavu huo
Tayari akili ndogo mmebadilishiwa channel!Nasikia vile vichwa vya treni vyenye chata ya TRL vilivotelekezwa mnataka kununua vipi muuzaji Ni TRL mwenyewe au bandari?cc:jingalao
Hahahaha mnabadilisha Gia au mmekosa pa kutokea?hivi vichwa c Baba yenu alisema havina mwenyewe?au alikua anajua watzd WA sasa akili zao kama kina jingalao na kipara kipya EE...hahah kweli ccm mmeishiwa tungo...ok lets go to the point nani atakua muuzaji?Ni TRL AU PORT AUTHORITY?Tayari akili ndogo mmebadilishiwa channel!
Haya Ni majibu kama ya polepole...unaulizwa swali la msingi unajibu upupu ili muda uende pumbavuTayari akili ndogo mmebadilishiwa channel!
Wewe nae ovyio .wanachadema washangae kimya wakati wanajua Nasary yupo nje ya nchi masomoni [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Baada ya nassari kukaa kimya bila kuonekana kwenye vyombo vya habari kuhusu chama chake cha chadema mpaka ilipelekea chadema kuanza kuondoa imani kwake na kuzuka uvumi kuwa yupo mbioni kujiunga na ccm na hiyo ilichagizwa na madiwani wa kwenye jimbo lake kujiuzulu na kuhamia ccm
Sasa inaonekana nassari yupo katika mkakati wa kurudisha imani yake kwa wana chadema walioipoteza na kuanza kubuni mipango ya kupambana na mkuu wa wilaya na kutoa ushahidi wa video na yote ni njia ya kuwazima na kuwapoteza chadema wasifikirie lililopo kichwani mwake na mkakati wake kwa kiasi kikubwa amefanikiwa!
Natumaini muda ukifika nassari ataweka wazi kumuunga mkono JJPM
Vita ni akili
Siasa mpaka 2020!
crap.Baada ya nassari kukaa kimya bila kuonekana kwenye vyombo vya habari kuhusu chama chake cha chadema mpaka ilipelekea chadema kuanza kuondoa imani kwake na kuzuka uvumi kuwa yupo mbioni kujiunga na ccm na hiyo ilichagizwa na madiwani wa kwenye jimbo lake kujiuzulu na kuhamia ccm
Sasa inaonekana nassari yupo katika mkakati wa kurudisha imani yake kwa wana chadema walioipoteza na kuanza kubuni mipango ya kupambana na mkuu wa wilaya na kutoa ushahidi wa video na yote ni njia ya kuwazima na kuwapoteza chadema wasifikirie lililopo kichwani mwake na mkakati wake kwa kiasi kikubwa amefanikiwa!
Natumaini muda ukifika nassari ataweka wazi kumuunga mkono JJPM
Vita ni akili
Siasa mpaka 2020!
Baada ya kurudi ndio kasema hayo wakati mwenyekiti pia alikuwa amepagawa tusubiri muda!Wewe nae ovyio .wanachadema washangae kimya wakati wanajua Nasary yupo nje ya nchi masomoni [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bado anamwa jinoAcheni ujinga hapa, mwambieni Mnyeti ajiyokeze ajibu mapigo kama ana ubavu huo
mnyeti hana mda kujibu pumba jukumu lake huko nikuwahudumia wananchi,diwani kama ametoka ya nini kimfatilia mbona lowasa na mbowe hamkumfatilia mkamuuliza ameoendekezwaje kupeperusha bendera na huku mlisema nifisadi kila mtu anauburu wakuamua anayotaka mlitaka akae chadema vyama vipo vingi jAcheni ujinga hapa, mwambieni Mnyeti ajiyokeze ajibu mapigo kama ana ubavu huo