Nassari alikana Mwananchi kuhusu Zitto na Urais

I agree with you.kitu ambacho sitaki kusikia kama Mungu ataniweka hai mwaka 2015 ni msamaha kwa Mwizi yeyote aliyeiba mali za umma.Scrutinyi ifanywe hadi ndani ya Usalama wa Taifa

Lugha tutakayoelewa ni ya speed trial and execution/Hakuna compromise katika hili.hakuna uliberali katika.Uliberali wa aina hii utakuwa ni uhuni na unyama dhidi ya wahanga wa ufisadi wa CCM na mafisadi waliolindwa na mfumo kandamizi.....
We need people to sacrifice their time and lives not by creating liberals or civilian wars but lead the hungary Tanzanians to positive changes! inakera sana kuona mfumo unalinda watu wanaokejeli watu wanaofanya juhudi kubwa kuifanya nchi yetu iondokane na mfumo tegemezi!! Leo inaonekana ukiiba vizuri serikali ndo unapata heshima, what the hell is that? Chukulia tu mfano binti kama Wema sepetu anatangaza ana nyumba ya milioni 400, bila serikali kushtuka kapata wapi hizi pesa haraka haraka na wala hawafanyi uchunguzi?
Ukiona hivyo, maana yake ni nini? Kuna mambo mengi yanafanyika sivyo ndivyo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom