Nassari aingia mkataba na Obama Foundation

Hongera zake - huko nako asituangushe tena - anavyokuwa easy taker anaweza kujipa likizo ya mwaka mzima bila kuwepo kazini kwa ajili ya kuisaidia CDM kampeni za mitaa
 

Hapo umegusa ma loudspeaker's wa slavemaster
 
Obama foundation gani iliyokuwa haitaki references za previous jobs, the latest of which sacked him.

Another point worths notinng ni kuwa atahitaji barua ya labour ( kama rules & regulations zitafatwa). Kama ana bèef kweli na hawa watu wa system basi wanaweza kumnyima.
 
Obama foundation haitaki reference za siasa!
 

Dahh nchi ilikua na ambulance mbili tu Nassary ndo akatuongezea?
 
Ni wivu tu narudia, ni wivu tu.

Nakazia
Acha wivu usio kusaidia kitu boya wewe.
 
Je wale wanaojiuzulu kisha kuunga juhudi na kuomba ubunge tena tuwaite vipi
 
Hizi porojo tu.... Ndio yale yale ya yule mtoto wa Fenandes kudai kakataa mshahara wa million 360...

Aweke ushahidi.
 
Maisha ni mipango +mitego,
 
Kwa akili zako za kibashite bashite uko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani amewachia jimbo halafu wambanie, ndio maana hakuna alipoishutumu serikali wala CCM.

Pamoja na kwenda huko mkataba ukiisha CCM hawawezi kumsahau.
 
Ubunge tz vs Obama foundation wapi maslahi makubwa?
 
Ndio uzuri wa kusoma, unafanya siasa lakini una usomi kichwani siasa ikibuma unaenda sekta nyingine. Sasa Kibajaji akitimuliwa bungeni sijui faenda wapi
 
Hivi nani aliandika hii habari?

A country with two ambulance!!!! How
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…