Anakuingiliaga kinyume na Matarajio? make hapa watu wanazungumzia Ishu ya Nasari wewe unataka kubadili maada na kuleta Porojo zingine, Zito anahusika vipi hapa?
Dah alafu unalipwa kwa kazi hii?
Ningekuwa mimi hata cent sitoi kwa upuzi kama huu.
Maccm bana mh kazi mnayo
ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko CDM kuingia nyumba na. 1 ya magogoni
Tatizo la hawa wabunge wa Chadema wanataka kuleta siasa za mwaka 1952 wakati wa kupigania uhuru. Mimi huwa wananichekesha sana wanaposema wanataka kutukomboa..
(...upup.u mtup.u...)
ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko CDM kuingia nyumba na. 1 ya magogoni
Kwa neema ya YESU KRISTO ina wezekana na itaingia bila kipingamizi chochote