Nasimama na William

kuna wanawake wameumbwa kwaajili ya starehe tuu..hawa huwa hawaolewi zaidi zaidi akupe uroda tuu...
wile popote ulipo chkua balimi extra nakuja kulipa
 
Akimbie bila kuangalia nyuma kama amevamiwa na nyuki...na kama ni gari ahakikishe kweny speed inasoma 120
 
Kulikia na haja gani ya kumpost tena while kwenye ule Uzi mwengine, alishapostiwa? Huu ni udhalilishaji
 
Kama mwanamke mwenyewe ndio huyo pichani amekaa Bar analewa na mapaja yake yako wazi namna hiyo, huyo sio wife material.

Sina budi kusimama na William.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…