Nasimama na Spika Ndugai

Lile bunge halipakwi matope lenyewe ni tope tosha.
 
Ndio kabisa mkuu gonjwa gonjwa kwake mortuary.
 
Ukweli unaweza ukawepo lakini kinachoongelewa hapa ni lugha iliyotumika siyo ya kiungwana. Huwezi kuiita taasisi kubwa kama Bunge eti ni DHAIFU. Lugha hizi tuwaachie wanasiasa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtu anaumwa karibu kufa wewe unataka tuseme "hajisikii vizuri" muachage unafiki.
 
Kuwa making Sana hakuna watu hawafai Kama wagogo hivi mgogo gani anaakili usijalibu kumuamini mgogo kunasehemu akifika mwambie inatosha aje mtu mwingine aendelee ukimuacha ana haribu siumeona walio tangulia wwngine walikua mpaka mawaziri was kuu walifanya nn Cha maana wacha wachunge mbuzi tu
 
Kwa hiyo kuvunja maadili na kuzungumzia kuvunjika maadili lipi ni kubwa kwako.yaani aliyelala aww bora kuliko aliyelalamikia ulalavi.Kama taifa tumekwama
 
Neno dhaifu ni pana sana inategemea vipi mtu analitumia, Kiswahili kinazungumzwa na Watanzania wanaozungumza lugha zao za jadi(Mother tounge), wengi wa Watanzania Kiswahili ni lugha yao ya pili..

Mfano kule kwetu neno "Matako" ni neno la kawaida kama vile neno "kiganja", unaweza kusikia mama akimwambia mwanawe "nitakupigia matako yako...

Lakini kuna baadhi ya Watanzania wa naona neno" matako " ni matusi wameamua kuiita sehemu hiyo ya mwili " makalio"..

Kutoelewa na kufahamu maana ya neno "Udhaifu" ndio tatizo la kulifanya Bunge lipagawe...

Kama Bunge ni taasisi au Chombo chenye Hekima na Busara basi kingelikaa na kujitafakari Udhaifu wake uko wapi ili lipate kujirekebisha..

Hivi vibweka na mambo mengine yanayotokea Bungeni kuhusu CAG inadhihirisha kuwa Bunge liko DHAIFU
 
NASIMAMA NA SPIKA NDUGAI.

Jana 14:15pm,07/06/2019.

Hio Tarehe ni ya ulimwengu huu huu??

You are strong than what you think...
 
Nasimama na Alhaj ASad# Pesa ya umma isichezewe!
 
Stupidity ulioksili.....mnapotosha means ya uzalendo!! Rudi shule...
 
144 (3) (a) ....................who are or have been Judges of the High Court or of the Court of Appeal in any country within the Commonwealth;
Aisee hiki kipengele mbona ulikitaja nusu?
 
Pumbafu MKUBWA! Kikaragosi kingine cha dikteta na dhalimu. Upuuzi wako huko huko kwa wapuuzi wenzio wa lumumba siyo humu.


 
Njaa mbaya sana unasaka Teuzi mpaka kujitoa fahamu zote kiasi hicho? Uzalendo kitu gani? CCM kuna mzalendo? Spika Ndungai hana Uzalendo wowote zaidi ya kufuja mfuko wa Bunge kisha kutengeneza bifu na CAG ili wapate unafuu wa kutokaguliwa mahesabu yao, Spika siyo mzalendo ni fisadi mkubwa alikwenda kutibiwa India akawa anaishi kwenye Hotel ya nyota 5 kwa gharama kubwa za kutisha hana Uzalendo na si mzalendo na CCM yote haina mzalendo hata mmoja kwenye ununuzi wa ndege kuna ufisadi kwenye matengenezo ya ndege Canada kuna ufisadi, kwenye ujenzi wa reli, flyover, na miladi yote mikubwa kuna ufisadi wa kutisha hakuna Uzalendo CCM zipo wapi trilion 1.5 au zipo nyumbani kwa wazalendo wa CCM?
 
Bunge ni dhaifu na wanaolichafua Bunge ni wabunge wa CCM
 
Sababu ya CAG kwenda kusemea marekani hilo neno la udhaifu wa bunge, sidhani kama linamashiko kwa teknologia ya sasa hivi, tukumbuke swali kaulizwa na mwandishi na ni public, sasa haijalishi yupo wapi taarifa itafika duniani kote kwenye mawasiliano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli anayo ajenda ya siri
Moja wapo ni kuwajurisha watanzania makosa na ufisadi wa awamu hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Wabunge wa sisim ndio wadhaifu kwaajili ya kutetea Matumbo yao ndio Maana Wana rangi mbili kama matikiti maji juu kijani ndani nyekudu, kwani wakiwa nje ya BUNGE wanalalamika na wakiwa ndani ya kikao cha BUNGE wanalinda maslshi yao kwa kutetea hoja za watawala bila kujali waliowachagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Both of you are foolish fools
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…