Nasimama na Spika Ndugai

Hivi angesema Bunge ni imara angechukuliwa hatua?
Dhaifu si tusi ni neno likiashiria kukosa uimara. Kama hawezi kuchukuliwa hatua kwa kusema 'imara' certainly haina maana kuhoji neno 'dhaifu''
Hulka ya binadamu ni kutaka sifa. Imara ni neno zuri.

Lakini huwezi kuita "Cha Kwako kuwa ni dhaifu"

Uzalendo uko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajitekenya na kucheka mwenyewe. hivi kwa uzoefu wa kitaaluma na maadili yake katika taaluma , unadhani CAG alikuwa hajui kuwa kuna hizo principles za kiukaguzi na kihasibu ambazo zinatakiwa kufuatwa?

kitu cha kwanza mkaguzi kabla ya kutamka neno uwa anasoma kwanza nadharia inasemaje ndio atamke, nina uhakika kuwa prof. Asad amesoma na kujiridhisha ndio maana katamka. uzuri ni kwamba prof.Asad kasisitizika huo udhaifu wa bunge na alikuwa anatamani sana kuitwa siku moja kuuelezea matokeo yake bahati mbaya spika kaingia mzima mzima mtegoni
 
Wewe kweli cha kubanga..! Uzalendo si kutetea ujinga kisa kuogopa wenye kisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli Siku zote in mgumu kusikiliza na kuumeza, kwanza Ktk Kipindi chote cha umri was Inchi yetu hakuna kipindi kibaya km hiki tumepata Spika boggasy km huyu.mfno kusimamia Binge kutonyeshwa live hub pia ni udhaifu No1 HV Leo Tz ilipo fikia hlfu unaturudisha miaka ya mwka 47.cjui hub Spka anatoka wpi kW kwl???!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja jiwe aje awapige knock out tena kama kwny koroshow.nyie mnatakiwa sasa hivi kutulia uone upepo unapovuma ndo uende nao sawa.mtazidi kujiaibisha.period

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kosa la CAG sio kuongea ukweli,swala ni maadili ya viongoz yanasemaje?Kumbuka Makonda aliwahi hojiwa kwa kauli yake kuwa wabunge wanalala bungeni, wengi walifurahi sana kwa makonda kuhojiwa lkn tukubali ni kweli wabunge wanalala huko bungeni sawa,Je kimaadili ni sahihi kusema hivo?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
hapana mkuu . Kuna mda hawa watumishi huwa wanaelemewa na pressure za majukumu wanajikuta wanaongea tu ili kuondoa stress.
Naamini saivi akitulia atajutia kwa nini alisema hivyo. Hauta ona nchi yoyote CAG anaongelea mambo ya weakness za mwajili wake wenye media.
 
Kwa Umri, Uzoefu na Hadhi ya CAG (Profesa), kuna Busara na Hekima kama Bunge lijitathmini kuliko kujitahidi kuziba mdomo. Huyu mtu yupo kwenye mhimili wa Serikali ambayo ndo inatakiwa kusimamiwa na Bunge kwa maana kwamba Bunge linasimamia Serikali ambayo naye yuko ndani, anaposema kwamba Bunge halisimamii Serikali ipasavyo, anafahamu vizuri kuwa huoni huo usimamizi maana yeye ni miongoni mwa wanaopaswa kusimamiwa. Hatahivyo, ni Afadhali CAG anayesema kwa uwazi, kuliko wewe unayetetea wakati huo huo ukiwa umejificha kwenye Fake ID. Hebu jiulize katika hali ya ukweli ukoje ?
 
Humwelewi CAG halafu unaanzisha thread haya si majungu! Acha majungu!
 
Kazi ya bunge ni kuisimamia serikali,sio kuabudu serikali.
CAG yupo sahihi.Ameamua kuyasema hayo ughaibuni ili wenye masikio na wasikie,wenye macho waone.Yawezekana ameisha lalamikia mamlaka husika bila ufumbuzi.
Kama Spika anafanya kazi yake vizuri kwanini anahofu na matamshi ya CAG?
Ifike mahala tutunge sheria kuwa ukiamua kufanya kazi yoyote ya umma ukubali kukosolewa vinginevyo tupishe sio mali binafsi.
 
Siku zote watu wenye akili wanasema kumsikiliza Zitto ni kujishusha hadhi tu....jamaa ni mpotoshaji halafu sasa haelewi kitu na ndiyo maana wasomi wanamchora tu na kumdaharau. Hapa atahaka atakuja na hoja nyingine kuwa kasoma vitabu 10 jana usiku huku akiwa haelewi chochote alichosoma. The fucking guy is pathetic.
 

Hivi kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya mtu mwingine tu raia wa kawaida asiyekuwa na cheo chochote akatoa matamshi ambayo yanaonekana kudhalilisha Bunge, hawezi kuhojiwa na Bunge? My point is, kama kweli matamshi ya CAG yanalidhalilisha Bunge, na hata Nchi kwa ujumla, bado CAG ana HAKI YA KUHOJIWA na chombo hicho kama raia wa kawaida wa JMT. So issue ya Rais wa TLS kwamba sheria aliyotumia Spika inawahusu Wabunge tu siyo sahihi, kwa sababu hata mimi nina haki ya kuhojiwa na Bunge. Mimi ninavyoliona swala hili, HAKI YA KUHOJIWA NA BUNGE NI HAKI ALIYONAYO KILA RAIA WA JMT, NA HAWEZI AKAINYANG'ANYWA. Kwa hiyo mimi naona Rais wa TLS anataka kutengeneza mazingira ambayo yanaweza kupelekea mhusika kwenye swala hili, kunyang'anywa haki yake ya msingi, yaani ile ya kuhojiwa, kitu ambacho itakuwa si kumtendea haki! Mbona juzi juzi tu tumeona viongozi wakiitwa kuhojiwa Bungeni na ambao siyo wabunge? Hawa walihojiwa kwa kutumia sheria gani?
 
Uzalendo siyo kutetea maovu ya serikali dhidi ya nchi yake

2020 John Walker out
 
Uwe dhaifu halafu usitukanwe? Usipotukanwa huo udhaifu utakaa uishe?
Yes ni dhaifu ila muhimili mmoja kuutukana mwingine...wanasiasa ama mimi na wewe tuko huru kutukana sio yeye anakuwa anaingilia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…