Nasikitika sana

Nasikitika sana

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,347
Sijaumia kwa kipindi kirefu kuhusu mwanaume fulani tulikutana mahali fulani .

Huyu mtu nilimpenda nayeye alinipenda sasa sijajua kama alinipenda kwa moyo au nimimi nilijikomba. Huyu mtu ni mtu mzima kiasi hana udogo wowote ila nilivumilia tuje tuonane face to face . Maana haikuwa chakuonana face to face bado.

Nilipata mshutuko pale nilimpigia simu nikamwambia mbona umekata akadai hataki watu wake wajue nipo naye maana yupo na marafiki zake wanaongea nakufanya kazi za ofisi. Awali huyu mtu alinionaga malaya fulani hivi .

Ila nikamkanya lakini sikujua alimaanisha kwa maana hadi mtu awe anaogopa mtu akijua unarafiki yako? Hii haijakaa sawa. Hata mimi siwezi mficha mtu yeyote hata wakawaida tu kuwa na wasiliana naye ila kweli tokea juzi niliona mikilaza.

Kiliniuma sana ila na muachia Mungu sijawahi huzunika kama nilivyohuzunika jana na leo .

Nilikuwa namweka kama kitu cha pekee kilichowahi kutokea saivi naona waafrika wananichukulia poa mmeila utu wangu nahisi hili liwe la mwisho. Sintojali tena kama nitaitwa bibi.

Ila nyie hamna shukurani tena anadai hata nikitaka nimwone nimtumie nauli aje anione seriously nachukuliwa kama vile msenge fulani asiye na ramani sijakulia hapa mie hadi nikose ramani mimi. Nahamjui mtu aliyoyapitia hadi mumuone kama hana ramani.

Nipo serious nanimeamua jambo. Siitaji mtu yeyote aje inbox yangu tena kuomba chochote asaidiwe au anataka mahusiano au anahitaji kura zangu au anahitaji ushauri walahi nitakuwa na short screen namuweka hapa inbox siitani ten wapuuzi wanaoitwa wanaume wakiafrika wanaoniona kama mavi ya sasa natena mimi sio low class mnavyodhania ni mtu na akili zangu na ndoto zangu.

Yaani kamtu kameajiriwa hana hata mbele wala nyuma kapewa tu nauli na kampuni kuja kufanya kazi kwenye mkoa wawatu ndio nako kananiringia kama mpuuzi fulani. Hawa watu wamezidi kweli leo. Ndio mwisho wa kuongea na watu weusi sio bure wazungu wanawaua mnastahili au wanatuona vituko.
Tunastahili.

Ni bora mzunguu akutukane atakupa hata dola utanyamaza kuliko kapuuzi kamoja kaliko ajiriwa na muhindi kakunyee. Nyie hamna akili wanaume wasasa halafu bado mnadhubutu kuturingia ringia .

Mimi leo ndio maana nawaona single mothers wanaakili wanachukua tu mbegu zao wanasepa wanalea wenyewe maana ni bora kuishi na kichaa mmoja kuliko wengi.

Nakama mkisema semeni tu. Na hii ndio mwisho wa jf kiukweli siwezi share jukwaa na wanaume weusi nahisi kutapika .
 
Kwaio mwanamke hatakiwi kukataliwa...😂😂😂? Ila kuna jamaa aliwahi semaga humu humu JF mwamba mwanamke anaumizwa na vitu viwili.

1. Ni kuonekana malaya..

cha 2. Nimekisahau...😂😂😂
 
Mwanamke ana miaka michache sana ya ku "shine" ambapo hapo wale wajanja ndio hua wanapata waume wa kuwaoa. Wale ambao sio wajanja hudhani kwamba wataendelea ku shine forever so wanatanguliza nyodo, majivuno na starehe. By the time anakuja kushtuka kashagonga 30 na wale vijana wote aliowaletea nyodo wameshaoa wana familia zao ndio kuanza kukimbilia makanisani.
 
Mana haikuwa chakuonana face to face bado .
Nilipata mshutuko pale nilimpigia simu nikamwambia mbona umekata akadai hataki watu wake wajue nipo naye maana yupo na marafiki zake wanaongea nakufanya kazi za ofisi.

Yani kulalamika kote huko kumbe hata jamaa mlikuwa hamjaonana?

Hebu acha kuwa na sonona ya mapenzi, tafuta kimtu chako personal hapo mtaani kwenu mzae japo katoto kamoja ka kukukeep busy.
 
Ulivyojisikia leo tu, sisi hujisikia hivyo hivyo au zaidi ya hivyo karibia kila siku.

Tungesema hatutaki wanawake wa Kiafrica, sijui ingekuwaje.

Piga moyo konde. Hasira zikiisha mpokee mwingine. Huwezi jua neema yako imeangukia kwa nani.

Pole sana.
 
Back
Top Bottom