Nasikitika nimepoteza muda wangu

Bablemuba

Senior Member
Jul 14, 2020
131
113
Huu Mji kweli una mambo!

Nilipokuwa nasubiri daladala kuelekea kwenye mishe zangu, nikaona mwanamke mwenye mwenye matako makubwa halafu kiuno ni kama dondora. Eeeh! Sikujua anaelekea wapi maana kila muda anahangaika na magari bila mimi kujua wapi anaenda.

Basi na mimi kila muda namvizia kwa nyuma kiasi kwamba hadi watu wakanisanukia, nikajikaza kiume nikitegemea gari atakalo panda na mimi nadandia hilohilo.

Yakapita masaa mawili akijizungusha zungushaa mwanaume kama kawaida kinyuma nyuma baada ya gari kufika akawa anahangaika kupanda ila watu wanambana bana, nguo alokuwa ameivaa iloonesha body yake.

Aise! Kumbe ni zile nguo za shepu ili aonekane na yeye ni mmoja ya wale walioumbwa Jumapilii, ikapasuka kilichotokea pale na monekano wake kwa kweli wakuu.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom