Kwanza wanamaisha mazuri kuliko sisi tulioenda mavyuoni miaka mitatu kitabu.vitu vyote hivi vinavyotuzunguka ukaona hii ni mada tuijadili?? unaanzaje kukereka na vitu havikuhusu?? sasa ulitaka umsomeshe wewe? pambana kuleta ugali mezani temana na mbanga hazikuhusu zitakupotezea muda jus listen to good music wanatupa hizo n maisha zao binafs
Ndo amn kabisaVipi zile nyimbo za kingereza za harmonize?
Wewe unaweza kuishi maisha yao ukaweza? Kukatika hovyo. Kushi kwa shikwa na mavideo vix. Kufanya mambo ya hovyo hovyo, kwenda kwa waganga.Kwanza wanamaisha mazuri kuliko sisi tulioenda mavyuoni miaka mitatu kitabu.
Nahemimu mawazo yako, madee kafulia Yule, waganga gani? Kama ya kweli kila mwanamziki angekuwa hot, sio kila mwanamziki au msanii mshirikina, maneno hata kwenye kanga yapo, we ukienda kwenye sherehe huchezi mziki, mr blue au sugu, profesa j wanakata mauno miziki yao?Wewe unaweza kuishi maisha yao ukaweza? Kukatika hovyo. Kushi kwa shikwa na mavideo vix. Kufanya mambo ya hovyo hovyo, kwenda kwa waganga.
Ukiweza hivyo basi hixo hela utapata.
Kama chaguo lako ni hela basi mambo mengi tu ya hovyo yapo unapiga hela fasta.
Kuna watu gata suasa tu hawawezi kufa ya kwa sababu ya mambo ya hovyo sembuze kujianika majukwaaani umevaa tunguo twa hovyo. Sikiliza wimbo wa sitaki tena muziki wa bwana Madee, ameeleza jinsi alivypoteza utu wake kwa kuwa mwanamuziki.
Ila sio kila aina ya muziki humtoa mtu utu wake.
Nenda kajiunge basi unasubiri nini? Andika mashairi nenda studio upige hela uwe sugu.Nahemimu mawazo yako, madee kafulia Yule, waganga gani? Kama ya kweli kila mwanamziki angekuwa hot, sio kila mwanamziki au msanii mshirikina, maneno hata kwenye kanga yapo, we ukienda kwenye sherehe huchezi mziki, mr blue au sugu, profesa j wanakata mauno miziki yao?
Niwe sugu kwakuwa nimewasifia we unataka niwaponde wakati kila kitu na kuhusu ushirikina hata mzee yusuph alisemaga Kama mi naloga na nyinyi mkaloge, na kutunga mashairi ni Maisha na maamuzi ya mtu, kwakuwa fulani anauza magari ukimsifia na wewe ukauze, au fulani kapiga hatua na wewe usimsifie au upinge, ukibariki na wewe utabarikiwa.Nenda kajiunge basi unasubiri nini? Andika mashairi nenda studio upige hela uwe sugu.
Siku hizi kuna studio mpaka vijijini, we nenda tu imba upige hela, yani unajua kabisa kuna hela unawaachia tu wenyewe waendelee kupiga hela wakati unaweza kufanya wanayoyafanya!
Hasiye ndiyo nini? Rudi shule domoBora kuwa na elimu au kuwa Kama diamond hasiye na elimu Ila anagonga viza tu, tunang'onjea birthday ya bi mkubwa tuone balaa lake.
Changia mada ya hapo juu, tupunguze mlolongo wa majibizano tuepuke kutumia lugha mbaya.Hasiye ndiyo nini? Rudi shule domo