Kunawakati napata shida kujua kweli spika huwa anakuwa na muda wa mrejesho kazi alizofanya kwasiku ndani ya bunge? nasema hivyo kwasababu habadiliki ktk usimamizi wa kanuni,kila siku imekiwa lawama,hata amekiwa akipewa ushauri na watu mabalimbali wakiwamo wasomi lkn ameshindwa kutambua hilo,mapenzi ya kivyama hayana tija kwa watanzia,watanzania wanahitaji maendeleo sio mipasho,wananchi wamewapa kazi.sasa ikifika wakati wakusilisha shika za watanzania matusi ,kejeli,mipasho kufukuzana vinaanja,siku inaisha wanapata posho.Je spika haoni hatutendei haki watanzani kutosimamia sheria na kanuni kwa wakati,je haoni watanzania hamuelewi ktk utendaji kazi wake abadilike au anafanya kazi kwa manufaa kundi la watu sio kwa watanzania wote.Iko siku mungu ataingulia kati tutaujua ukweli nani anamshauri spika.