K KIDUNDULIMA JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 966 Reaction score 541 Mar 4, 2011 #1 jamani nawaageni kwa muda wa miezi minne. Nitawamiss sana. Kuna kazi ya kuumiza kichwa natakiwa kuikamilisha ili nisijeliwa kichwa. Mungu akijalia tutaonana majaliwa.
jamani nawaageni kwa muda wa miezi minne. Nitawamiss sana. Kuna kazi ya kuumiza kichwa natakiwa kuikamilisha ili nisijeliwa kichwa. Mungu akijalia tutaonana majaliwa.
Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,631 Reaction score 3,545 Mar 4, 2011 #2 Kila la kheri....kazi njema na karibu tena!!!
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 295 Mar 4, 2011 #4 kazi njema mkuu ila ruksa kula chabo siku moja moja ucsepe jumla mkuu
J Jasusi JF-Expert Member Joined May 5, 2006 Posts 11,560 Reaction score 5,527 Mar 4, 2011 #5 Ukipata muda uwe unachunguliachungulia kidogo ili usijepitwa na mengi.
MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Mar 4, 2011 #7 Kila la heri na kazi Mkuu. Laiti ningelikuwa na ujasiri kama huo!
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,907 Reaction score 1,082 Mar 4, 2011 #8 usisahau kutoa salaam zetu kwa nduguzo na marafiki. Pia uwe unachungulia kidogo kuona nini kinajiri hapa naamini hutavumilia kuishi bila jf
usisahau kutoa salaam zetu kwa nduguzo na marafiki. Pia uwe unachungulia kidogo kuona nini kinajiri hapa naamini hutavumilia kuishi bila jf
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Mar 4, 2011 #9 Dah ila poa tu mkuu mungu akufanyi wepesi katika hilo. Pa1 mkuu
Mwelewa JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 2,343 Reaction score 3,287 Mar 4, 2011 #10 Kila la kheri mkuu, kazi njema!
T Taso JF-Expert Member Joined Jun 12, 2010 Posts 2,517 Reaction score 2,439 Mar 4, 2011 #11 good riddance