Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana

Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata watoto wanne. Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu.

Mama Agness ameniliza sana. Daaah talaka inauma sana kwa mtu uliyemzoea. Nimemuuzi mtu niliyempenda. Ndiyo hivyo tena hatimaye mimi na mke wangu leo mwendo tumeumaliza.

Usijar utakutana na mwingine aliyeachwa mtaanza maisha mapya.kuimba kupokezana.
 
Back
Top Bottom