Kinachonifurahisha kwenye hii picha ,ni yele mpigapicha kulee[emoji117]
mheshimiwa Magufuli alienda
Wala sio dhambi
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Alikuwa na tatizo gani hadi akaenda kupata hicho kikombe?
Ka hujui code basi umbra haukufaiIpi hiyo?