hivi ni mpaka 2014...Kanda ya ziwa hakuna CCM tena ilishakufa baada ya uchaguzi.kwa mkoa wa shinyanga mbunge wa CCM ni Masele tu. wengine wanatumikia upinzani.
Tunasubiri 2014 tusimike serikali za mitaa zote CDM na UDP kwa Bariadi.Siku hizi hata sare za CCM wanavalia ukumbini hawana ubavu wa kutembea kifua mbele wanajua ni ngome ya CDM.
Siku hizi Shinyanga hakuna ugomvi wa kisiasa kwani CCM kilishageuka kuwa chama cha upinzani, chama tawala ni CDM, hilo liko wazi hata kwa wana-ccm wenyewe ndiyo maana hakuna vurugu
Mwanza ni international airport mkuu, unless kama hufahamu maana ya international airport!
ccm ina shule zake (hasa za sekondari).....chama gani kingine kina shule hata moja.....? Hata ya chekechea....? Ili tunapoongea tuwe na firm ground.......!
Tuache porojo tujenge nchi kwa vitendo
Kanda ya ziwa;
Hongereni sana, sasa naamini mmeshaamka toka usingizi fo-fo-fo,
hili wala si jambo la kujiuliza Si Si Em ni chama cha Upinzani.
Poleni na hongereni,
Mtawaona kina Nape watakavyozomewa wakitia timu.
2011 hali ni hii, 2014-15 itakuwaje, Si Si Em itakuwa zile zile familia
zinazolala na kuamka ktk nyumba zilizojengwa kwa ufisadi
CCM in a shule zake? Nenda kapime malaria! Hizo shule zilikuwa za TAPA (Jumuia ya wazazi ya CCM) unajua nani walizijenga? Ni sawa na CCM kujisifu kuwa wanaviwanja Kama Kirumba,Jamhuri,majimaji nk, wakati hizo ni nguvu za wananchi tena kwa kulazimishwa na hata wengine walifungwa kwa kukaidi amri ya kuchangia. Hivyo vyote vinapaswa kurudishwa kwa wananchi kupitia halmashauri zao.CCM INA SHULE ZAKE (hasa za sekondari).....CHAMA GANI KINGINE KINA SHULE HATA MOJA.....? HATA YA CHEKECHEA....? ILI TUNAPOONGEA TUWE NA FIRM GROUND.......!
Tuache porojo tujenge nchi kwa vitendo