K KASIANI Member Joined Jul 9, 2011 Posts 14 Reaction score 2 May 2, 2012 #1 Jamani kwa taarifa zisizo rasmi nimesikia basi la NBS limepata ajali maeneo ya Igunga/Nzega kama kuna mtu mwenye taarifa zaid naomba atujuze.
Jamani kwa taarifa zisizo rasmi nimesikia basi la NBS limepata ajali maeneo ya Igunga/Nzega kama kuna mtu mwenye taarifa zaid naomba atujuze.
NICK2275 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 3,930 Reaction score 924 May 2, 2012 #2 Saa hizi ndo unauliza hii habari? Nenda jukwaa la habari mchanganyiko utakuta hio taarifa