Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,053
- 3,269
Nilisoma vibaya nilijua ana miaka 22 kumbe mieziHivi hata mtoto mdogo naye anaweza kupata kisukari...!? Kuna rafiki yangu analalamika sana kuwa mwanae mwenye miezi 22 anakunywa maji sana hasa nyakati za usiku. mwanaye huyo na umbo kubwa na uzito wa kg 14. Wako Maeno ya Dar (Mbagala kuu)
Sent using Jamii Forums mobile app