nasikia harufu ya damu.

Mie siendi popote Kaizer si umeona sijaunga mkono hoja eeh?..

Afu bwana siku hizi umenitenga ......makutano huji kabisa
Ndo maana nimekustua. Nina kitu kipyaaaaa
 
Last edited by a moderator:
safi sana Bishanga....

Wakitembea lile dude liende..... 'jukwaa hili na hili langu'..... Jukwaa hili na hili langu......
 
Last edited by a moderator:
Si unaona serikali imewekeza mabilioni kuwaondoa kunguru wa dar,acha niwekeze,ujue nini cacico,wanatufanyia makusudi baada ya kuona jukwaa la chitchat linaimarika,halafu ujue hakuna jukwaa rahisi ku break barriers kama chichat,kuna watu kinawauma.
mimi mwenyewe linanifanya nilisahau jukwaa la siasa.
 

Kaka salutiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…