Nasikia harufu ya damu Man United vs Real Madrid

Madrid haijamtaka de gea, madrid ikimtaka de gea, si man u wala de gea mwenye jeuri ya kukataa. Hizo habar unazosema ni habari za magazeti ya udaku ya uingereza.
Sema wewe wanamuhitaji mchezaji gani Wa juu kwa sasa? Au hawahitaji mchezaji Mkubwa yeyote kwa sasa,au bado wana angalia angalia hawaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema wewe wanamuhitaji mchezaji gani Wa juu kwa sasa? Au hawahitaji mchezaji Mkubwa yeyote kwa sasa,au bado wana angalia angalia hawaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app

Baada ya kumuuza alvaro morata, madrid ipo katika radar na kumtafuta mbadala wa morata. Na kwa sasa walio katika radar ni Kylan Mbape, na Piere emerick Aubemeyang.
 
Baada ya kumuuza alvaro morata, madrid ipo katika radar na kumtafuta mbadala wa morata. Na kwa sasa walio katika radar ni Kylan Mbape, na Piere emerick Aubemeyang.
Ukiwatazama hao wachezaji wawili,mbappe ni sahihi zaid,cz umri mdogo, lakini pia ameonyesha kiwango kikubwa sana msimu uliopita na ana promise sana. Ila kwa kuwa Madrid ya sasa inachungulia pia Mfuko utaona watavyofata mteremko. Kwa hyo watakimbia kina kirefu kwa mbape wataenda kwingine. Tena hata huyo aubameyang cjui kama watatoa hela watayotajiwa. Na siku hizi wana tabia wakishindwa jambo wanasema hatukuwahi kumhitaji, kama ilivyo kwa pogba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah, mbape ni kweli kwa uliyosema. Ila ni risk sana kutoa pesa wanayoitaka Monaco kwa mchezaji wa miaka 18. Hii kauli imekuwa backed up na perez himself.
Hata hivyo sitoshangaa wakimtupilia pemben na wakaongeza imani kwa Marco Assensio ambaye alikuwa na msimu mzuri uliokwisha.

wp_ss_20170724_0001.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom