Yeah, ng'ombe wa Sumbawanga ni wanene sana kama huyo. Hongereni Wafipa na Wamambwe!
photoshop hata kivuli hakuna
Kwani photoshop hairuhusu kuwepo watu? Au hujui photoshop ni nini?Photoshop wakati unaona watu wapo chini hapo wanashangaa....
Kwani photoshop hairuhusu kuwepo watu? Au hujui photoshop ni nini?
photoshop hata kivuli hakuna
Wakiona hapa wanaweza wakakuvuta ukajikuta upo kwenye kikao chaoKwa akina wapigwe hapo
Hii siyo Photoshop , ng,'ombe alikuwa anaelea kwenye mafuriko maji yalipopungua akabaki juu ya paaPhotoshop wakati unaona watu wapo chini hapo wanashangaa....
gud sasa walimshushashusha je huko mkuuHii siyo Photoshop , ng,'ombe alikuwa anaelea kwenye mafuriko maji yalipopungua akabaki juu ya paa
Angalia edge aliyokaa ng'ombe, kivuli kipo upande wa pili