Pole sana my dada mwana Lindi mwenzangu uishiye Newala.
Pole maana mwaka huu mambo yamekwenda ndivyo sivyo; nakusihi uusome mchezo jitahidi kufuata mdundo wa ngoma iliyopo uwanjani, achana na ujanja ujanja pia jiweke mbali na ndugu yako na rafiki wa familia yenu anaye-trend kwasasa.
Narudia kukupa pole kwa kukosa kangomba mwaha huu.
#VivaJPM
Si amenunua na kuuziwa kwa fedha zake? Wivu wa nini? Nyie watu wakusini acheni wivu w kimaskini, mlitaka aje Msukuma kununua ndio iwe sawa?Upo vizuri sana mwambie huyo dadako kuwa watu wamemchoka na sasa watamchoma kwa wakubwa zake,amenunua sana sehemu za bondeni
Haya maneno yàko ilibidi umwambie magufuli siyo unani bwatukia mimiSi amenunua na kuuziwa kwa fedha zake? Wivu wa nini? Nyie watu wakusini acheni wivu w kimaskini, mlitaka aje Msukuma kununua ndio iwe sawa?
Asante, nimeanza kuelewa alichokisema mtoa madaTena wanasiasa wa huko huko Kusini, waliojidai kutetea sana eti kusini wanaonewa. Kazi yao baadhi wameunda hadi makampuni kwa lengo la kutoa kibano kwa wakulima, bila hata huruma. Mwaka huu ngoja yawapate.
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya badala ya kuwasaidia wakulima, nao wamekwenda kushindana na wakulima na kujiingiza kwenye kilimo cha korosho. Mkulima hana msaada. Magufuli piga kazi, kelele ni zao siyo za taifa.
Umeona eehTena wanasiasa wa huko huko Kusini, waliojidai kutetea sana eti kusini wanaonewa. Kazi yao baadhi wameunda hadi makampuni kwa lengo la kutoa kibano kwa wakulima, bila hata huruma. Mwaka huu ngoja yawapate.
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya badala ya kuwasaidia wakulima, nao wamekwenda kushindana na wakulima na kujiingiza kwenye kilimo cha korosho. Mkulima hana msaada. Magufuli piga kazi, kelele ni zao siyo za taifa.
umeandika kimajungu majungu,chuki chuki hivi na kawivu kwa mbaaaliiiPole sana my dada mwana Lindi mwenzangu uishiye Newala.
Pole maana mwaka huu mambo yamekwenda ndivyo sivyo; nakusihi uusome mchezo jitahidi kufuata mdundo wa ngoma iliyopo uwanjani, achana na ujanja ujanja pia jiweke mbali na ndugu yako na rafiki wa familia yenu anaye-trend kwasasa.
Narudia kukupa pole kwa kukosa kangomba mwaha huu.
#VivaJPM
============
KWA AMBAO HAMJAELEWA IKO HIVI
Mkuu wa Wilaya ya Newala Aziza Mangosongo alinunua korosho changa aje uza soko likiwa zuri ila kwakua serikali imezuia basi amezitelekeza.
Hujui kituumeandika kimajungu majungu,chuki chuki hivi na kawivu kwa mbaaaliii
Achante ntani wangu bwana weweNakuunga mkono mtoa hoja na hawa wanao kubeza hawajui nini unamaanisha ila kwetu sisi tunao jua mchezo wote tunakupongeza na mwaka huu atawacha kidomo domo maana kakatwa maini
Ndo muwe mnatuwekea details za kutosha kwa sisi tusioelewaWacha kuzingua wewe kama hujaelewa hujaelewa tu
Kazitelekeza wapi tukazichukuwe maana korosho zote ni mali ya serikali kwa sasa.Pole sana my dada mwana Lindi mwenzangu uishiye Newala.
Pole maana mwaka huu mambo yamekwenda ndivyo sivyo; nakusihi uusome mchezo jitahidi kufuata mdundo wa ngoma iliyopo uwanjani, achana na ujanja ujanja pia jiweke mbali na ndugu yako na rafiki wa familia yenu anaye-trend kwasasa.
Narudia kukupa pole kwa kukosa kangomba mwaha huu.
#VivaJPM
============
KWA AMBAO HAMJAELEWA IKO HIVI
Mkuu wa Wilaya ya Newala Aziza Mangosongo alinunua korosho changa aje uza soko likiwa zuri ila kwakua serikali imezuia basi amezitelekeza.
HahahaaJamaa yangu mmoja kaamua zake abangue auze kidogokidogo mpaka ziishe.
Hahah alikua na tani ngapi?Jamaa yangu mmoja kaamua zake abangue auze kidogokidogo mpaka ziishe.
tani tanoHahah alikua na tani ngapi?
Si mchezo aisee.tani tano
Ila akibangua kidogokidogo akapeki atapata hela nyingi zaidi,ingawa mlolongo utakuwa mrefu.Si mchezo aisee.