Nasikia dada umetelekeza korosho tani 50 kulinda ukuu wa wilaya

Nashauri korosho hz zisitaifishwe Bali wawaachie zichomwe kienyeji ili nasi watu wa chini tuweze kula kwa jerojero. Zile mnazopark mnakula wazitoetuuu
 
Pole sana my dada mwana Lindi mwenzangu uishiye Newala.

Pole maana mwaka huu mambo yamekwenda ndivyo sivyo; nakusihi uusome mchezo jitahidi kufuata mdundo wa ngoma iliyopo uwanjani, achana na ujanja ujanja pia jiweke mbali na ndugu yako na rafiki wa familia yenu anaye-trend kwasasa.

Narudia kukupa pole kwa kukosa kangomba mwaha huu.

#VivaJPM
Kama unaona aibu ngoja tukusaidie unamaanisha Mkuu wa Wilaya ya Newala Aziza Mangosongo alinunua korosho changa aje uza soko likiwa zuri ila kwakua serikali imezuia basi amezitelekeza..sio mbaya halafu jifunze kua muwazi sio kama unamsemea ugoni wifi yako kwa kakako ukiogopa semwa baadae
 
Pole sana my dada mwana Lindi mwenzangu uishiye Newala.

Pole maana mwaka huu mambo yamekwenda ndivyo sivyo; nakusihi uusome mchezo jitahidi kufuata mdundo wa ngoma iliyopo uwanjani, achana na ujanja ujanja pia jiweke mbali na ndugu yako na rafiki wa familia yenu anaye-trend kwasasa.

Narudia kukupa pole kwa kukosa kangomba mwaha huu.

#VivaJPM
Kue mpasho ndo sehemu yake!!
Hapa andika facts tu.
 
Kama ni hivyo wengi watayakimbia mazao tukianza na tumbaku, mahindi, pamba, nk
Maana wengi wamekuwa wafanyabiashara
 
Hii nchi sarakasi zitaisha lini?
Kila uchwao kuna jipya,likitoka hili linakuja lingine
 
Nakuunga mkono mtoa hoja na hawa wanao kubeza hawajui nini unamaanisha ila kwetu sisi tunao jua mchezo wote tunakupongeza na mwaka huu atawacha kidomo domo maana kakatwa maini
Pole sana my dada mwana Lindi mwenzangu uishiye Newala.

Pole maana mwaka huu mambo yamekwenda ndivyo sivyo; nakusihi uusome mchezo jitahidi kufuata mdundo wa ngoma iliyopo uwanjani, achana na ujanja ujanja pia jiweke mbali na ndugu yako na rafiki wa familia yenu anaye-trend kwasasa.

Narudia kukupa pole kwa kukosa kangomba mwaha huu.

#VivaJPM
 
Mkuu unamuonea ungejitahidi kutafuta ukweli ungemuelewa
Alafu kama huna habari kamili, acha kuleta street story humu.. Alafu hiyo profile pic ni yako? Kama umejiandaa kusubiria ku...mbwa..!! Usijali lkn ni kawaida tu..!!
 
Mkuu mleta mada ana jambo la muhimu sana kwani kuna baadhi ya viongozi wakuu wameshiriki kununua hizo kangomba lkn baada ya kustukiwa wanajidai wasafi mbele ya mteuzi wao
Sijui unamlenga nani lakini kwa hesabu ya haraka, siyo vizuri ukuu wa wialaya ufe kwa ajili ya korosho. Tani 50 kwa bei ya 3200 ni Tzs milioni takriban 160.

Akimaliza ukuu wa wilaya ana uhakika wa bonus ya TZS zaidi ya milioni 50. BAdo mshahara wa kila mwezi hadi kufikia hapo. Ongeza reputation na uwezekanao wa kupanda juu.

Ombi: Uko anonymous, unatumia pseudonym. HUna sababu ya kuficha majina na tatzio linalompata huyo mtu anayelinda ukuu wa wilaya.
 
Upo vizuri sana mwambie huyo dadako kuwa watu wamemchoka na sasa watamchoma kwa wakubwa zake,amenunua sana sehemu za bondeni Kivumishi
 
Pole sana my dada mwana Lindi mwenzangu uishiye Newala.

Pole maana mwaka huu mambo yamekwenda ndivyo sivyo; nakusihi uusome mchezo jitahidi kufuata mdundo wa ngoma iliyopo uwanjani, achana na ujanja ujanja pia jiweke mbali na ndugu yako na rafiki wa familia yenu anaye-trend kwasasa.

Narudia kukupa pole kwa kukosa kangomba mwaha huu.

#VivaJPM
kivumishi unatisha!!!
 
Tena wanasiasa wa huko huko Kusini, waliojidai kutetea sana eti kusini wanaonewa. Kazi yao baadhi wameunda hadi makampuni kwa lengo la kutoa kibano kwa wakulima, bila hata huruma. Mwaka huu ngoja yawapate.

Baadhi ya Wakuu wa Wilaya badala ya kuwasaidia wakulima, nao wamekwenda kushindana na wakulima na kujiingiza kwenye kilimo cha korosho. Mkulima hana msaada. Magufuli piga kazi, kelele ni zao siyo za taifa.
kangomba imekufa kifo cha mende
Viva JPM
 
Mkuu wa Wilaya alitaka kukomba mboga, kashitukiwa kaamua kuliachia bakuli la kitoweo fastaaa afu kajikausha ka si yeye - ha ha ha
 
Pole sana my dada mwana Lindi mwenzangu uishiye Newala.

Pole maana mwaka huu mambo yamekwenda ndivyo sivyo; nakusihi uusome mchezo jitahidi kufuata mdundo wa ngoma iliyopo uwanjani, achana na ujanja ujanja pia jiweke mbali na ndugu yako na rafiki wa familia yenu anaye-trend kwasasa.

Narudia kukupa pole kwa kukosa kangomba mwaha huu.

#VivaJPM
AZIZA MANGOSONGO AUKOSA UKANGOMBA WA MWAKA 2019
 
Pole sana my dada mwana Lindi mwenzangu uishiye Newala.

Pole maana mwaka huu mambo yamekwenda ndivyo sivyo; nakusihi uusome mchezo jitahidi kufuata mdundo wa ngoma iliyopo uwanjani, achana na ujanja ujanja pia jiweke mbali na ndugu yako na rafiki wa familia yenu anaye-trend kwasasa.

Narudia kukupa pole kwa kukosa kangomba mwaha huu.

#VivaJPM
Ngoja nikamuulize mh mkuu wa wilaya ya newala bi Aziza Mangosongo kama ana hizi taarifa za huyo dada yako aliyetelekeza tani 50.
 
Kama wewe siyo mwana kusini huwezi kujua nini anamaanisha
Yaani unatakaje niamini uzushi na hajawa muwazi!! Inakuwaje taarifa hizi nyeti za kumsaidia Mh. Rais unaziandika huku ukiwa na hofu kama Si uzushi na uvumi ni nini. Wewe mwambie mwenzio atueleze kiunagaubaga ni nini hasa na kafanyaje huyo Mheshiniwa (details)

Mimi ni mwanakusini halisi wa pande za kumasasi kule mpindimbi halafu wee mmawia unaniletea zengwe !

Kuwa makini kwani kuwa nwanakusini haimaanishi hupaswi kuwajuza wenzako taarifa zenye uhakika

The listener
Ex Detective
 
Wacha kuzingua wewe kama hujaelewa hujaelewa tu

Back
Top Bottom