Nasikia dada umetelekeza korosho tani 50 kulinda ukuu wa wilaya

Pole sana my dada mwana Lindi mwenzangu uishiye Newala.

Pole maana mwaka huu mambo yamekwenda ndivyo sivyo; nakusihi uusome mchezo jitahidi kufuata mdundo wa ngoma iliyopo uwanjani, achana na ujanja ujanja pia jiweke mbali na ndugu yako na rafiki wa familia yenu anaye-trend kwasasa.

Narudia kukupa pole kwa kukosa kangomba mwaha huu.

#VivaJPM

Ya funga mwaka
 
Upo vizuri sana mwambie huyo dadako kuwa watu wamemchoka na sasa watamchoma kwa wakubwa zake,amenunua sana sehemu za bondeni
Si amenunua na kuuziwa kwa fedha zake? Wivu wa nini? Nyie watu wakusini acheni wivu w kimaskini, mlitaka aje Msukuma kununua ndio iwe sawa?
 
Haya maneno yàko ilibidi umwambie magufuli siyo unani bwatukia mimi
 
Tena wanasiasa wa huko huko Kusini, waliojidai kutetea sana eti kusini wanaonewa. Kazi yao baadhi wameunda hadi makampuni kwa lengo la kutoa kibano kwa wakulima, bila hata huruma. Mwaka huu ngoja yawapate.

Baadhi ya Wakuu wa Wilaya badala ya kuwasaidia wakulima, nao wamekwenda kushindana na wakulima na kujiingiza kwenye kilimo cha korosho. Mkulima hana msaada. Magufuli piga kazi, kelele ni zao siyo za taifa.
Asante, nimeanza kuelewa alichokisema mtoa mada
 
Tena wanasiasa wa huko huko Kusini, waliojidai kutetea sana eti kusini wanaonewa. Kazi yao baadhi wameunda hadi makampuni kwa lengo la kutoa kibano kwa wakulima, bila hata huruma. Mwaka huu ngoja yawapate.

Baadhi ya Wakuu wa Wilaya badala ya kuwasaidia wakulima, nao wamekwenda kushindana na wakulima na kujiingiza kwenye kilimo cha korosho. Mkulima hana msaada. Magufuli piga kazi, kelele ni zao siyo za taifa.
Umeona eeh
 
Pole sana my dada mwana Lindi mwenzangu uishiye Newala.

Pole maana mwaka huu mambo yamekwenda ndivyo sivyo; nakusihi uusome mchezo jitahidi kufuata mdundo wa ngoma iliyopo uwanjani, achana na ujanja ujanja pia jiweke mbali na ndugu yako na rafiki wa familia yenu anaye-trend kwasasa.

Narudia kukupa pole kwa kukosa kangomba mwaha huu.

#VivaJPM
============
KWA AMBAO HAMJAELEWA IKO HIVI
Mkuu wa Wilaya ya Newala Aziza Mangosongo alinunua korosho changa aje uza soko likiwa zuri ila kwakua serikali imezuia basi amezitelekeza.
umeandika kimajungu majungu,chuki chuki hivi na kawivu kwa mbaaaliii
 
Nakuunga mkono mtoa hoja na hawa wanao kubeza hawajui nini unamaanisha ila kwetu sisi tunao jua mchezo wote tunakupongeza na mwaka huu atawacha kidomo domo maana kakatwa maini
Achante ntani wangu bwana wewe
 
Kuna watu walishaanza minong'ono oooh hizo hela hazitatosha, lele lele...lolo lolo na hadithi za Kalumekenge. Haya sasa, kama kuna wazalendo wa kuchangia tani 50 bure, hazitatosha tu?
 
Pole sana my dada mwana Lindi mwenzangu uishiye Newala.

Pole maana mwaka huu mambo yamekwenda ndivyo sivyo; nakusihi uusome mchezo jitahidi kufuata mdundo wa ngoma iliyopo uwanjani, achana na ujanja ujanja pia jiweke mbali na ndugu yako na rafiki wa familia yenu anaye-trend kwasasa.

Narudia kukupa pole kwa kukosa kangomba mwaha huu.

#VivaJPM
============
KWA AMBAO HAMJAELEWA IKO HIVI
Mkuu wa Wilaya ya Newala Aziza Mangosongo alinunua korosho changa aje uza soko likiwa zuri ila kwakua serikali imezuia basi amezitelekeza.
Kazitelekeza wapi tukazichukuwe maana korosho zote ni mali ya serikali kwa sasa.
 
Hatuwezi wote tukawa wakulima....
Hakuna kitu kama Hicho kwenye ulimwengu huu.....
Kitu biashara yoyote kuwepo mtu wa kati ni kitu cha kawaida!
Mfanyabiashara ndy anaumiza kichwa kupata masoko n.k
Huo unaitwa mgawanyo wa kazi

Ova
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom