king Chuga JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 510 Reaction score 52 Apr 23, 2013 #1 Jamani naskia chuo cha kampala kilichopo Gongo la mboto kina malecturer waganda tu.
A Amani Chuo New Member Joined Apr 23, 2013 Posts 2 Reaction score 1 Apr 23, 2013 #2 wapo pia wazungu and wabongo plus kenyans
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,600 Reaction score 16,518 Apr 23, 2013 #3 king Chuga said: Jamani naskia chuo cha kampala kilichopo Gongo la mboto kina malecturer waganda tu. Click to expand... Kwa hiyo kutisha kwake ni kwa lipi?
king Chuga said: Jamani naskia chuo cha kampala kilichopo Gongo la mboto kina malecturer waganda tu. Click to expand... Kwa hiyo kutisha kwake ni kwa lipi?
king Chuga JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 510 Reaction score 52 Apr 23, 2013 Thread starter #4 Babaubaya said: Kwa hiyo kutisha kwake ni kwa lipi? Click to expand... Inamana bongo hakuna walimu mpaka tuchukue jirani?? Je ni uwekezaji gani huu mpaka mfanya usafi anatoka Uganada??
Babaubaya said: Kwa hiyo kutisha kwake ni kwa lipi? Click to expand... Inamana bongo hakuna walimu mpaka tuchukue jirani?? Je ni uwekezaji gani huu mpaka mfanya usafi anatoka Uganada??
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,040 Apr 23, 2013 #5 Heading na content tofauti Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Apr 23, 2013 #6 Tatizo li wapi?