Nasi twaweza fanya hivi pia

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,883
2,765
299325_283364518442404_1880734089_n.jpg
 
biblia inasema vitaumbwa upya na nchi zitageuka, hapo tungoje arudi mara ya pili MWOKOZI WETU YESU KRISTO ndio tutaweza kufanya hivyo
 
yote yatakua mapya, mji u;e unameremeta umepambwa maua, njia zake ni dhahabu tupu, though Amricans waliwahi kunukuliwa kusema iwapo peponi (mbinguni) hakutakua kama America wao watasita kuingia....
biblia inasema vitaumbwa upya na nchi zitageuka, hapo tungoje arudi mara ya pili MWOKOZI WETU YESU KRISTO ndio tutaweza kufanya hivyo
 
Inawezekana kabisa,kwani walioweza kufanya haya walianzia wapi?
 
Nadhani ni barabara si ramani.
Mzee wa Fund, usidhani, ni kweli ni barabara lakini sio halisia ila ni mchoro wa barabara inayotarajiwa kujengwa. Hiyo kwa taarifa yako huitwa "ramani". Sikumaanisha mipaka ya nchi, hata kiwanja chako watu wa ardhi wanapokupatia title deal wanakupa ramani sio kiwanja kwa kuwa kiwanja unaweza ukawa nacho wakakupimia na kukupa ramani tu. Uliho nkoi?
 
Kawaida mbona sema tu hatutaki kufanya foleni isipokuwepo faida ya petro-station haita kuwepo
 
kwa Tanzania tusipokuwa makini tunaweza tukajikuta tukiangalia picha za miji ya watu kila leo
 
Of course we can, all these resources we have jamani ni aibu kusema hatuwezi. Congo ya Kabila wameshtuka, they use their resources to make sure that they get roads and other infrastructure.
 
Back
Top Bottom