Nashukuru sijala Krismasi

Ishi upendavyo tusifanane tutakua wajinga na wapuzi wewe kuwa tofauti ni vizuri
 
Quran inasema tofauti na bukhari,na Quran ndiyo yenye uislam
Quran inasema mmehalalishiwa chakula cha waliopewa kitabu(kile cha halali) na chakula chenu ni halali kwao
Nakushauri fuata Quran badala ya vitabu vinavyowaweka waislam mbali na Quran
Wakiristo wa leo wamepewa kitabu yaani ndio Ahlu kitab?
 
ko waarabu sio jamii wala Taifa? au ni aliens?
#Matako yake hajui anacho ongea, punguzeni chuki Kila mtu abaki anacho amini ukiponfa ukiristo ,Uislam ni Imani na utamaduni wa mwarabu ni vyema kuweka mstari mwekundu # tuheshimu Kila mtu Imani yake whether ni Pagan or believer.
 
Kama jana haukula chakula chochote hata nyumbani kwako 24 hours hongera ila kama ulikula basi ulikula msosi wa Christmas
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…