Hii hoja haina mashiko maana tukirudi kabla ya ukoloni na sasa kila nchi ikisema idai ardhi basi migogoro haitakwisha. Ndio maana wamakonde wako tz na mozambique ikiwa ina maana kabla ya mipaka ilikuwa koo moja imesamnaaaJuzi Mhe Rais Paul Kagame akiwa ziarani huko Benin ametaja kuwa mgogoro wa DRC na M23 chanzo chake ni wakoloni kumega ardhi ya dola ya kale ya Rwanda na kuzipa nchi jirani.
Bw Kagame ametaja nchi jirani zilizopewa ardhi Ardhi ya dola ya Rwanda ya kale ni DRC, Uganda na Burundi.
Kati ya nchi zote nne zinazopakana na Rwanda ni Tanzania tuambayo Bw Gen Kagame hakujaribu kuitaja kua anadai ardhi hapa.
Ijapokua Historia inataja koo za Wanyiginya ambayo asili yao ni Rwanda ya kale zilikua zikimiliki tawala nyingi nchini Tanzania hasa mikoa ya Kanda ya ziwa na Kigoma. Kama ilivyo Burundi, DRC na Uganda.
Nadhani Kagame alielewa vyema somo alilopewa na Tanzania mwaka 2013 hatamani tena kupata somo la pili aina ya remidial.
Haha.
watu mna maneno...hawezi akayasema vibaya makimbilio yake ya usalama, maana anajua kikinuka kwake watu wake na hata yeye mwenyewe mahali wanakoweza kuishi kwa usalama na amani ni Tanzania tu.Juzi Mhe Rais Paul Kagame akiwa ziarani huko Benin ametaja kuwa mgogoro wa DRC na M23 chanzo chake ni wakoloni kumega ardhi ya dola ya kale ya Rwanda na kuzipa nchi jirani.
Bw. Kagame ametaja nchi jirani zilizopewa ardhi Ardhi ya dola ya Rwanda ya kale ni DRC, Uganda na Burundi.
Kati ya nchi zote nne zinazopakana na Rwanda ni Tanzania tuambayo Bw Gen. Kagame hakujaribu kuitaja kua anadai ardhi hapa.
Ijapokua Historia inataja koo za Wanyiginya ambayo asili yao ni Rwanda ya kale zilikua zikimiliki tawala nyingi nchini Tanzania hasa mikoa ya Kanda ya ziwa na Kigoma. Kama ilivyo Burundi, DRC na Uganda.
Nadhani Kagame alielewa vyema somo alilopewa na Tanzania mwaka 2013 hatamani tena kupata somo la pili aina ya remidial.
Haha.
Juzi Mhe Rais Paul Kagame akiwa ziarani huko Benin ametaja kuwa mgogoro wa DRC na M23 chanzo chake ni wakoloni kumega ardhi ya dola ya kale ya Rwanda na kuzipa nchi jirani.
Bw. Kagame ametaja nchi jirani zilizopewa ardhi Ardhi ya dola ya Rwanda ya kale ni DRC, Uganda na Burundi.
Kati ya nchi zote nne zinazopakana na Rwanda ni Tanzania tuambayo Bw Gen. Kagame hakujaribu kuitaja kua anadai ardhi hapa.
Ijapokua Historia inataja koo za Wanyiginya ambayo asili yao ni Rwanda ya kale zilikua zikimiliki tawala nyingi nchini Tanzania hasa mikoa ya Kanda ya ziwa na Kigoma. Kama ilivyo Burundi, DRC na Uganda.
Nadhani Kagame alielewa vyema somo alilopewa na Tanzania mwaka 2013 hatamani tena kupata somo la pili aina ya remidial.
Haha.
ni mtu anayetakiwa kuwekwa mbali kabisa na utawala huu. ajabu yake utawala uliopita alipopata tu madaraka safari ya kwanza ikawa kwa kagame, ndio maana alisingiziwa kuwa hadi walinzi alilindwa na wanyarwanda...kwasababu alijisogeza mno. heshima ya Tanzania ilishuka sana kwa Rwanda. msimamo aliokuwa nao Kikwete ndio msimamo halisi unaotakiwa, na mtu yeyote anayeleta mambo mengine tuamini kuwa sio mtanzania.Juzi Mhe Rais Paul Kagame akiwa ziarani huko Benin ametaja kuwa mgogoro wa DRC na M23 chanzo chake ni wakoloni kumega ardhi ya dola ya kale ya Rwanda na kuzipa nchi jirani.
Bw. Kagame ametaja nchi jirani zilizopewa ardhi Ardhi ya dola ya Rwanda ya kale ni DRC, Uganda na Burundi.
Kati ya nchi zote nne zinazopakana na Rwanda ni Tanzania tuambayo Bw Gen. Kagame hakujaribu kuitaja kua anadai ardhi hapa.
Ijapokua Historia inataja koo za Wanyiginya ambayo asili yao ni Rwanda ya kale zilikua zikimiliki tawala nyingi nchini Tanzania hasa mikoa ya Kanda ya ziwa na Kigoma. Kama ilivyo Burundi, DRC na Uganda.
Nadhani Kagame alielewa vyema somo alilopewa na Tanzania mwaka 2013 hatamani tena kupata somo la pili aina ya remidial.
Haha.
Tanganyika yetu tudai ambayo Rwanda na Burundi ni mikoa
kikwete ndio alifanya hilo, wengine wote sioni nuru. hapa ndio tunaona umuhimu kuwa na Rais ambaye ni mjeshi.Ha haa. Kwa namna tulivyomnyamazisha Malawi, hakuna mtu atathubutu kucheza na ardhi ya Tanzania...