Nashukuru Nimepata mpenzi

Bangusilo

Senior Member
Feb 7, 2008
137
10
Ndugu wana JF

Wengi nadhani mliliona tangazo hili

"natafuta mpenzi wa kike kwa ajili ya mahusioano ya kudumu,
mimi ni mwanaume single na ninaumri wa miaka 25, ningependa awe na umri wa kuanzia miaka 32-45
awe anaishi dar es salaam
"


Baada kusota benchi kwa miezi 8 bila timu wala kuchakachua, nakuamua kutafuta mpezi kwenye forums hii napenda kuwajulisha kuwa nimempata kupitia hapa hapa, bahati nzuri pia alikuwa rafiki ya girlfriend wangu tulieachana, na ameniahidi kuwa atanipa mapenzi motomoto,
Hasa ukizingatia alikuwa nae alikuwa broken heart like me.

i.e. Society of Broken Hearts(SOB)

Idumu JF
With thanks
Wenu
Bangu
 
hongera na kila la kheri....asante kwa kutupa feedback...maana wengine wanaenda wakichakachuana kimya kimya...:redfaces:
 
hongera sana,nawatakia kila la kheri naamini hamtapeana majeraha ya moyo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom