Machakoz
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 369
- 202
Habari wana jf.
Napenda kuwapa shukrani kwa wale wote walionisaidia kunipa maelekezo ya wapi ningepata gest nzuri ya kupumzika na mchepuko wangu mitaa ya Kigamboni wikiendi hii, kwa kweli niliyafanyia kazi na kufanikiwa kupata gest nzuri iliyotulia na yenye hadhi kwa mtu anayetaka kutoa mawazo na uchovu wa mihangaiko ya wiki nzima. Kwa kweli nili- enjoy na mchepuko ulifurahi sana kwa matembezi hayo...Asanteni