A Andimile Member Jun 16, 2013 76 14 Jun 17, 2013 #1 Nilikuwa na hamu sana kuchangia hoja zinazotolewa humu jamiiforums
K kinauche JF-Expert Member Oct 17, 2012 7,681 2,211 Jun 17, 2013 #2 Hili jukwaa ni zuri sana kwa kuwahabarisha watu ila kuna wakati mwingine yanatokea mazuzu fulani hivi ambao hu-distort baadhi ya taarifa Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hili jukwaa ni zuri sana kwa kuwahabarisha watu ila kuna wakati mwingine yanatokea mazuzu fulani hivi ambao hu-distort baadhi ya taarifa Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
minda JF-Expert Member Oct 2, 2009 1,068 65 Jun 17, 2013 #3 karibu jamvini mkuu mpya tafadhali rejea kanuni za jf
JakaRoho Member Jun 7, 2013 40 6 Jun 17, 2013 #4 Andimile said: Nilikuwa na hamu sana kuchangia hoja zinazotolewa humu jamiiforums Click to expand... Samahani ndugu..,hapo kwenye RED inamaana hamu imekuisha au.?sijakuelewa vizuri..!
Andimile said: Nilikuwa na hamu sana kuchangia hoja zinazotolewa humu jamiiforums Click to expand... Samahani ndugu..,hapo kwenye RED inamaana hamu imekuisha au.?sijakuelewa vizuri..!
Songoro JF-Expert Member May 27, 2009 4,122 1,017 Jun 17, 2013 #5 Katiba mpya itambue JF kama mhimili wa TANO wa Taifa na iingizwe kwenye mtaala kama Mtandao wa Kiada wa kufundishia sekondari!
Katiba mpya itambue JF kama mhimili wa TANO wa Taifa na iingizwe kwenye mtaala kama Mtandao wa Kiada wa kufundishia sekondari!
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Aug 9, 2007 18,697 8,843 Jun 17, 2013 #7 Songoro said: Katiba mpya itambue JF kama mhimili wa TANO wa Taifa na iingizwe kwenye mtaala kama Mtandao wa Kiada wa kufundishia sekondari! Click to expand... Yani wajukuu wetu waje wajifunze haya matusi humu?
Songoro said: Katiba mpya itambue JF kama mhimili wa TANO wa Taifa na iingizwe kwenye mtaala kama Mtandao wa Kiada wa kufundishia sekondari! Click to expand... Yani wajukuu wetu waje wajifunze haya matusi humu?
Izz JF-Expert Member Oct 15, 2010 750 318 Jun 17, 2013 #8 Songoro said: Katiba mpya itambue JF kama mhimili wa TANO wa Taifa na iingizwe kwenye mtaala kama Mtandao wa Kiada wa kufundishia sekondari! Click to expand... Hahaha! Mkuu naheshimu mawazo yako!
Songoro said: Katiba mpya itambue JF kama mhimili wa TANO wa Taifa na iingizwe kwenye mtaala kama Mtandao wa Kiada wa kufundishia sekondari! Click to expand... Hahaha! Mkuu naheshimu mawazo yako!
Songoro JF-Expert Member May 27, 2009 4,122 1,017 Jun 17, 2013 #9 Kibanga Ampiga Mkoloni said: Yani wajukuu wetu waje wajifunze haya matusi humu? Click to expand... bora matusi kuliko vitabu vya 'mbatia', bora waandike matusi kuliko kuchora Zombi maana tusi ni kipimo kizuri kuwa wanajua kusoma na kuandika!
Kibanga Ampiga Mkoloni said: Yani wajukuu wetu waje wajifunze haya matusi humu? Click to expand... bora matusi kuliko vitabu vya 'mbatia', bora waandike matusi kuliko kuchora Zombi maana tusi ni kipimo kizuri kuwa wanajua kusoma na kuandika!