Samahani ndugu..,hapo kwenye RED inamaana hamu imekuisha au.?sijakuelewa vizuri..!Nilikuwa na hamu sana kuchangia hoja zinazotolewa humu jamiiforums
Katiba mpya itambue JF kama mhimili wa TANO wa Taifa na iingizwe kwenye mtaala kama Mtandao wa Kiada wa kufundishia sekondari!
Katiba mpya itambue JF kama mhimili wa TANO wa Taifa na iingizwe kwenye mtaala kama Mtandao wa Kiada wa kufundishia sekondari!
Yani wajukuu wetu waje wajifunze haya matusi humu?