Nashindwa nimuanzeje

Mwambie she‘s the only angel missing in heaven,and that you‘ve tried to gather courage all those years in vain,and even now you‘re still struggling-but that shouldn‘t matter anymore, the truth is you‘ve always loved her,you still do and you forever will..

Hapo kwny you weka ‘i‘ wakati unamwambia..afu malizia, “i want to be with you,“

Duuu!?Unaonekana ka dating consultant!?
 
AAA ndugu yangu huyo kama hana mtu mpaka mda huu ujuwe ni jini kiwete-haiwezekani mwanamke mzuri abakie bila boi friend.

Usije ukamtongoza akabikia kuguna tu.
 
man mwanaume wakwelii haogopii vibuti.mimii hadi leo na vibutiiii 450 na win 550 idadi ya kutongoza ni 1000,now ni mme iprove,ukipigwaa kibuti unajipaa changamoto na kujipangaa kwa style ingine.afuu kwanini usononeshe moyo wako sema kilichopo moyoni mchane live bilaa chengaaa,utazubaa wezako washapuu wabebe ubaki na jerahaa..bora sema mapema.then huyo demu sorry mwanamke unahisi anafeeling zozote juu yako usije kukosea kumbe mwanamke walaa hana wazo juu yako
nimetongoza mara 6 nmekubaliwa mara 1, na aliyenikubali hakua na tabia nzuri so nikamuacha
 
Duuu!?Unaonekana ka dating consultant!?

Hayo ni macourage kwny maandishi unaweza kuta in real world mie mwnyw domo zege...
Anyways,i think it may be a gud business idea-Learned‘s dating consultant
 
WANAUME hawaogopi wanawake!Unachoogopa hapo ni kibuti tu!Ukipata uhakika atakukubali utaendelea kusita?
 
mbona ukipata supplimentary huji kutuomba ushauri unasapua mwenyewe.acha ujinga mwaga swaga ukichelewe wenzako watabeba.kwani madesa yote umemalza kuyasoma yote mpaka upate muda wa kutongoza visichana chuoni.soma wewe uta disco
 
Whoever said experience is the best teacher was insane!
man mwanaume wakwelii haogopii vibuti.mimii hadi leo na vibutiiii 450 na win 550 idadi ya kutongoza ni 1000,now ni mme iprove,ukipigwaa kibuti unajipaa changamoto na kujipangaa kwa style ingine.afuu kwanini usononeshe moyo wako sema kilichopo moyoni mchane live bilaa chengaaa,utazubaa wezako washapuu wabebe ubaki na jerahaa..bora sema mapema.then huyo demu sorry mwanamke unahisi anafeeling zozote juu yako usije kukosea kumbe mwanamke walaa hana wazo juu yako
 
kaka kwa maelezo yako huyo binti pia ameshakupenda sana, kwanza anaona unamchelewesha!fanya kama unamtania!mwambie you will marry me?
 
hahahahaha lol! ikichakaa si unaindika upya banaaaa...na kuanza kuvizia tena jinsi ya kuiwakilisha kwa muhusika :):)


hahahaaaaaaaaaa, umenichekesha kweli, barua!
imenikumbusha mbali kweli nilishaandikaga enzi nasoma bahati mbaya nikaipoteza halafu masela wakiokota... Duh, ilikuwa soooo ile mbaya....
 
teh teh teh teh! Fowardline mbovu? Cant help laughing. Nimeipenda. Final third department is not clinical. Ndo yale yale mbwa mzee asofunzwa mbinu za kuwinda. Daah! 3rd yr? Unatuangusha wanaume. Chuo gani upo?

zoom techniqual college.
 
naomba kuuliza,
kwan ww hujawahi kutongozaga binty uko nyuma au huwa wanakukataaga ss dis tym wataka hints ili usikataliwe?

Na wewe kwa kuharibu lugha yetu jamani watu wa pwani hatupendi wenyewe.

Eti 'tongozaga, kataaga....' ndiyo nini?

Tutamtuma Mzee Kifimbocheza awacharaze viboko!
 
Habari ya kutongozana sikuizi haipo,eti ooh unajua nakupenda kuliko pilau ya krisimasi,siku hizi ni vitendo tu mtoe out kama anapata na the laga,hapo ndio patamu zaidi,ongea kwa vitendo sio maneno.
 
Wanajf me ni kijana nasoma chuo kuna msichana nimempenda, kwa ss nko mwaka wa 3,huyu msichana nko nae grp disc tangu frst yr, mpaka naingia 3rd yr ndo nkagundua nampenda kiasi gan, lifestyle yake anaonekana hapa chuoni hana m2,.nimependa sasa nianzaje naomben steps za kumuaproach

Asiyeweza kutongoza na asiwe na mwenza!
 
Back
Top Bottom