Nashindwa nimuanzeje

KWETU PAZURI

Senior Member
Oct 14, 2011
161
26
Wanajf me ni kijana nasoma chuo kuna msichana nimempenda, kwa ss nko mwaka wa 3,huyu msichana nko nae grp disc tangu frst yr, mpaka naingia 3rd yr ndo nkagundua nampenda kiasi gan, lifestyle yake anaonekana hapa chuoni hana m2,.nimependa sasa nianzaje naomben steps za kumuaproach
 
naomba kuuliza,
kwan ww hujawahi kutongozaga binty uko nyuma au huwa wanakukataaga ss dis tym wataka hints ili usikataliwe?
 
jmosi nitakuwa hapo chuo, we nionyeshe huyo dame alafu niachie kazi yote

andaa kitu kama dola 70 hivi.
 
mkuu una moyo sn,miaka 3 without kumwaga sera,km ingekuwa ni mm nishasahau zaman km huyo mdada nlshamtongozaga.bt ucjal mkubwa,ni hv cku zote KUJIAMINI NA KUJITOA NDIO SIRI YA MAFANIKIO.so jst take a practical steps.gd lucky!
 
Wanajf me ni kijana nasoma chuo kuna msichana nimempenda, kwa ss nko mwaka wa 3,huyu msichana nko nae grp disc tangu frst yr, mpaka naingia 3rd yr ndo nkagundua nampenda kiasi gan, lifestyle yake anaonekana hapa chuoni hana m2,.nimependa sasa nianzaje naomben steps za kumuaproach

Kazana kupiga buku dogo utadisco
 
Inaelekea umempenda... maana mpaka umekosa mistari ya kumwambia unakuja kuuliza humu...Ukifanya process ya kumueleza hisia zako kuwa ngumu,utamkosa na atakuona hujiamini...#Take it easy..Mpeleke dinner then hapo hapo utafunguka..

NB: Usimtongoze kwenye simu..na kukubaliwa au kukataliwa yote ni matokeo!!
 
Yaelekea Dina ni Mpango mzima..
 
mambo ya kumpeleka dinner ni ya wazungu,.i jus need steps za kuchukua day by day na maneno ya kumwambia mpaka nifikie uwezo wa kumwambia nampenda
 
naomba kuuliza,
kwan ww hujawahi kutongozaga binty uko nyuma au huwa wanakukataaga ss dis tym wataka hints ili usikataliwe?

nimetongoza mara 6 nmekubaliwa mara 1, na aliyenikubali hakua na tabia nzuri so nikamuacha
 
..acha hizo kwani AKIKUKATAA WE UTAKOSA NINI?..usijilete humu ukadhani kuna njia sahihi ya kumuapproach binti,hawa viumbe wako tofauti kimtazamo na maarifa yao ktk lugha za mapokeo,ko mpaka hapo usijidanganye ukadondosha maneno ya kinywa chako kwani da way namwona huyo dada si wa SAIZI YAKO,ni mwerevu na mwenye ADABU ZOTE ZA KALE,ko we mwachie KIDUME anayekula 2nda la huyo dada kuendelea kufaidi,ndio UMEKAA 3yrs bila kutambua kuwa ana mtu coz we c INTELIJENSIA mzuri na pia chuo c mahala pa kila binti kupata bwana,OKnadhani umenisoma ukikaidi tu,nategemea kuona sredi yako 2012 ya watu walopigwa CHAGA la ulimi..tchao baba..
 
Very simpo anza kwa kuruhusu mdomo wako kufunguka, usiwe kama umewekewa zege. Hatua ya pili hakikisha kuwa ukimpata usiwe mtu wa eat and run.
 
mambo ya kumpeleka dinner ni ya wazungu,.i jus need steps za kuchukua day by day na maneno ya kumwambia mpaka nifikie uwezo wa kumwambia nampenda

Kumbe wataka kutafuniwa kisha ulishwe...umri huo??!...subiri wanaume wakali wa mistari waje humu,watakusaidia.
 
TAHADHARI;Ucmtongoze kwa cm na kama ulikuwa na mazoea nae plz punguza msalimie ukiwa umetabasam co unachekacheja,
Mualike cku 1, then anza kumuuliza yeye kama yeye anapenda kuwa na mwanaume wa aina gan? (white, black, tall, shot au wastan), but anaweza akakujbu cfa 1wapo then ww utamuuliza kwann? Kasema hivyo, pia muulze swal la kizush kama ana mme coz hujawah kumuona, madem cku hz hawatongozwi cku nying mwambie moja kwa 1 kuwa UNAMPENDA na unataka kuwa nae ili muondoleane upweke akkujbu anam2 wake tell her uko radhi akupe hata 5%, hlf hizo 95% ampe huyo aliye nae, endelea kumnyenyekea 2 kwa kipnd hiki cha mpito jioneshe kuwa unamhitaji sana.
 
ninakushauri umwendee direct nakumtel nia yako unaweza ukachelewa akachukuliwa na mwingine
 
Mdomo umejaa mchanga. Wewe wala usifikiri sana, mwambie tu nakupenda, halafu jiandae kwa maswali yatakayofuata. Usiutese moyo wako. Doh miaka miatatu sio mchezo.
 
Back
Top Bottom