Nashindwa nifanye nini juu ya huyu mpenzi wangu?

Mkuu pole sana. Ushauri wangu usiendele kupoteza muda mpaka hapo hali sio shwari hauna mchumba wala mke hapo. Ni vizuri ukaanza kutafta utaratibu mpya maana huko mbele utakutana na mazito zaidi yata kumiza kichwa zaidi na zaidi. Swala zima la mahusiano kwa sasa ni gumu mno. Jambo ambalo lina kupa shaka zaidi kwenye ishu ya uaminifu kama hiyo sio salama koz ina onyesha kuwa wewe umeingilia mahusiano yao wao bado wanafanya yao so kuwa makini.
 
Habarini, nmeandika uzi huu ili wana jf mnisaidie mawazo na ushauri kwani naamini huku naweza jua la kufanya juu ya huyu mpenzi wng.

Mimi ni kijana nna 24 years, na mahusianao na binti mmoja ambae nmeanza nae mahusinao since 2015 mpaka hvi leo japo sikua nae karibu muda mwingi kutokana na sababu za kimasomo

Ingawa kwasasa nipo nae karbu japo tabia zake ndo zanishangaza mwanzo alinambia aliwahi kuwa na mpenzi lakini waliachana cha kushangaza mpaka sasa anawasiliana nae kwa mitandao ya jamii na isitoshe baadhi ya picha za Ex wake huyo still anazo (nmeligundua hilo hivi karibuni baada ya kushika simu yake, huwa Sina hyo tabia ila ilinibidi)

Pia nilikutana na chattings akichat na baadhi ya wanaume, huku mmoja wapo akimuomba kwa mparange, nmemuuliza amekataa katakata akidai kua huyo aliwahi kuwa classmate wake na huwa ana story za ajabu Kama hizo.

Nashindwa kuamua nichukue uamuzi gani juu yake hususani ni haya mambo mawili.

1) kuchat na Ex wake na kutunza pic zake.
2) Kuchat na wanaume wengi na mada zinazoongeleka ni mapenzi tu, na mmoja wapo ndo huyo ana muomba kwa mparange.

Naumia sana kwakua nampenda.
Acha wivu bana! Mbona wewe una MPARANGA?
 
Shukran kwa ushauri wako mkuu
 
Tafuta pesa kijana, miaka 24 unakimbizana na mademu?
 
Nyie madogo msiokuwa na majukumu mnatabu sana maana mnawaza papuchiiii tuuuuuu, tafuta pesa kama ulivyoshauriwa hapo juu na wakulungwa, hizo K zipo tu mtaani zakumwaga nyingine wala huombi unalazimishwa, sasa wee endelea kutunisha kifua Gym utakula jeuri yako Mama Lwakatare marehemu alishawahi kuwaonya nyinyi walamba lips fanyeni kazi tafuteni pesa mashimo yapo tu. Unamuona Daimond na domo lake lile lakini ana mkwanja anakula mi K yooote anayotaka kisa pesa.
 
Mimi ni kijana nna 24 years, na mahusianao na binti mmoja ambae nmeanza nae mahusinao since 2015 mpaka hvi leo japo sikua nae karibu muda mwingi kutokana na sababu za kimasomo
Mwaka 2021-mwaka 2015 = miaka 6
Miaka 24 - miaka 6 = miaka 18
Yeye ana miaka mingapi?
 
Wakati wewe unasubiri ushauri kuhusiana na hilo mimi nilishampotezea kitambo kwa tabia kama za huyo wa kwako. Nilikua nikiwa nae mda wote namuona yuko busy na sim yake na nikiifanyia surprise nakuta mambo ya ajabu sana. Siku moja akanambia anachat na dada ilikua mida ya usiku wa saa tatu kuinasa sim na kupiga sim nikasikia sauti ya kiume. Sasa wewe ngoja tukupe ushauri maana hauna ushauri wa kichwani mwako.
 
Habarini, nmeandika uzi huu ili wana jf mnisaidie mawazo na ushauri kwani naamini huku naweza jua la kufanya juu ya huyu mpenzi wng.

Mimi ni kijana nna 24 years, na mahusianao na binti mmoja ambae nmeanza nae mahusinao since 2015 mpaka hvi leo japo sikua nae karibu muda mwingi kutokana na sababu za kimasomo

Ingawa kwasasa nipo nae karbu japo tabia zake ndo zanishangaza mwanzo alinambia aliwahi kuwa na mpenzi lakini waliachana cha kushangaza mpaka sasa anawasiliana nae kwa mitandao ya jamii na isitoshe baadhi ya picha za Ex wake huyo still anazo (nmeligundua hilo hivi karibuni baada ya kushika simu yake, huwa Sina hyo tabia ila ilinibidi)

Pia nilikutana na chattings akichat na baadhi ya wanaume, huku mmoja wapo akimuomba kwa mparange, nmemuuliza amekataa katakata akidai kua huyo aliwahi kuwa classmate wake na huwa ana story za ajabu Kama hizo.

Nashindwa kuamua nichukue uamuzi gani juu yake hususani ni haya mambo mawili.

1) kuchat na Ex wake na kutunza pic zake.
2) Kuchat na wanaume wengi na mada zinazoongeleka ni mapenzi tu, na mmoja wapo ndo huyo ana muomba kwa mparange.

Naumia sana kwakua nampenda.
Umbwa wakirangi wewe
 
Wakati mwingine mateso, dhiki na mabalaa maishani mwetu hutokana na kufanya, kutokufanya, au kuchelewa kufanya maamuzi magumu kwa manufaa yako....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom