Nashindwa nifanye nini juu ya huyu mpenzi wangu?

Mapenzi yanatesa jamani pole mkuu, ningekupa solution sema naona hutaweza kuitumia bado una roho nyepesi
 
Unashindwa fanya maamuzi juu ya tabia ya mpenzi wako??..hauko serious kijana..Mara moja Moja jifunze kutumia akili katika maamuzi yako ukiendekeza Moyo utaumia.. mapenzi hayanaga shukrani shauri yako
Mapenzi na akili wapi na wapi , mwambie atumie moyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom