Duuh hujaweka hela ya Tozo harafu atapokea nzima nzima umejichanganya hapo Mkuu..Iko hivi Mkuu!.
Ukituma hela na ya kutolea, wao wanatuma hela nzima. Mfano umetuma 100,000 na ya kutolea 3,650 basi mteja wako atapokea 103,650.
Hapo sijaweka hela ya Tozo.
Sasa kuna uwezekano ndugu yako hakuwa na kiasi hicho kwenye simu yake kama akiba.
WMEKULAMBA 7000..!Jana nimetuma 170000 pamoja na ada ya kutolea.Nimekatwa ada ya kutolea 3650 mpesa ada 1000 na tozo 2530.
Mpokeaji baada ya kutoa (katoa 174000 sababu alikuwa na akiba ya 11000 kabla ya mimi kumtumia) nae kakatwa ada ya kutolea 3650 na tozo 2530. Kwa hiyo ada ya kutolea imekatwa mara mbili.
Nimewapigia vodacom kwa namba 100 lakini sioni namna naweza kuongea nao zaidi wananiambia bonyeza namba ambazo hazina msaada .
HUJAMUELEWA BRO..Duuh hujaweka hela ya Tozo harafu atapokea nzima nzima umejichanganya hapo Mkuu..
Kabla ya mimi kumtumia alikuwa na akiba ya 11326.Kwa hiyo baada ya mimi kumtumia akawa na jumla ya 181326.Iko hivi Mkuu!.
Ukituma hela na ya kutolea, wao wanatuma hela nzima. Mfano umetuma 100,000 na ya kutolea 3,650 basi mteja wako atapokea 103,650.
Hapo sijaweka hela ya Tozo.
Sasa kuna uwezekano ndugu yako hakuwa na kiasi hicho kwenye simu yake kama akiba.
Ndio mkuuWMEKULAMBA 7000..!
SIO KODI ZA WANA MANJANO..Kodi ya kizalendo iliyopitishwa na CHADEMA ππ
soma vizuri mkuuDuuh hujaweka hela ya Tozo harafu atapokea nzima nzima umejichanganya hapo Mkuu..
Mbona ni sahihi mkuu.Jana nimetuma 170000 pamoja na ada ya kutolea.Nimekatwa ada ya kutolea 3650 mpesa ada 1000 na tozo 2530.
Mpokeaji baada ya kutoa (katoa 174000 sababu alikuwa na akiba ya 11000 kabla ya mimi kumtumia) nae kakatwa ada ya kutolea 3650 na tozo 2530. Kwa hiyo ada ya kutolea imekatwa mara mbili.
Nimewapigia vodacom kwa namba 100 lakini sioni namna naweza kuongea nao zaidi wananiambia bonyeza namba ambazo hazina msaada .
ShukraniMbona ni sahihi mkuu.
Hujaonewa. Hii serikali ni ya majizi sana. Yaani yanapiga double payment. Yanakata ukituma yanakata ukitoa. Ni Huzuni.
Au Wacheki Whatsaap kwa msaada zaidi +255 754 100 100