Nashindwa kuupdate

Puza

Senior Member
Dec 11, 2010
106
12
Wakuu habari zenu.<br>Naombeni msaada wadau takribani wiki sasa kila nikitaka kuupdate antivirus(kaspersky) hata window inasema cant connect to server lakini kubrowse net napeta bila tabu hata kudownload small application, nilijaribu kuuninstal antvrus na kuinstal tena sasa hata kuregister inagoma key nlonazo ni za kwenye cd ya setup.<br>Msaada tafadhali..............
 
OK kwanza kwa kufikira haraka tatizo liko kwenye keys kama zimekuwa blacklisted au lisence ime expire hauwezi ku update coz feature iyo ina kuwa turned off mpaka uwe na valid lisence labda unge provide details ya ni kaspersky antivirus au kaspersky internet security ya mwaka gani au version ipi?
 
Ni kaspersky ant virus.
Tangu nimegundua tatzo ilikuwa inaonesha subscription day ni 77 days.
 
Back
Top Bottom