Nashindwa kuunganisha dots kuhusu VPN

Nashindwa kuunganisha dots kuhusu VPN

Me nimejiunga na pdproxy!! naona inafanya kazi na line yangu yenye kifurushi tu! nikiweka line yenye 0 Tsh inashndwa kuconect! au kuna maujanja mengine ya kuapply ili niweze kufaid ohondo wa pdproxy?!!
  • Hapo kwenye red pananihusu. Nipigie nikupe hayo maujanja. Namba yangu angalia kwa PM
 
All thanx to Mwl.RCT kwa msaada wako bro!! Sasa mambo mazuri tu net speed kama kawa!! Keep it up bro!!!
 


Huto nunua tena kifurushi, inakuwa basi - Utalipia tu hiyo vpn

Swala la speed inategemeana upo eneo gani, kuna maeneao yana speed nzuli na mengine hayana speed nzuli.

Mahala popote iwe mjini au kijijini. Hapa swala je sehemu utakayokuwepo coverage ya ISP ikoje, Kama ni week speed ni ndogo, Kama ni strong 3g, Speed kubwa.

Kumbuka hapa kuna software mbili tofauti:- Maalum kwa ajiri ya Simu i.e TroidVPN , na Maalum kwa PC; Software zote ni stable na zinakizi mahitaji.
-->> Kuhusu stability mfano kwenye PC kuna screen shot hii kweny uzi mwingine


Hitimisho
>>Uhondo wa ngoma uingie ucheze.
>> Nitakupa bure
ONE MONTH PREMIUM ACCOUNT ya troid VPN ambayo pia utatumia katika PC yako kwa TunnelGuru: ambayo itakusaidi kujibu baadhi ya maswali ulioyo nayo kuhusu ufanisi wa hivi VPN.
>> Unachotakiwa kufanya jisajili
hapa ili upate username na password kisha nitumie PM au sms 0768 92 48 41



Nashukuru kwa maelezo yako,pia asante kwa ofa yako. Unsafe itekeleza maana tayari nimejiregsta
 
kazi kwako bei ya Troid ni 8000/
kama uko sehemu ya 3G basi ni mwendo mdundo
Angalia speed zangu nikiwa masaki karibu na Mnara...picha ya torrent ni 3G+ modem na ya IDM ni 7.6Mbps modem(alcatel ya Airtel) sikupi guarrantee utapata speed kama yangu lkn hiyo ndo max speed unaweza pata ili mradi uwe na 3G nzuri eneo lako liwe mjini au kijijini
Troid VPN ni ya Android lkn waweza tumia account hiyo hiyo kwenye PC hivo ni chaguo lako
https://www.jamiiforums.com/matanga...-inauzwa-kwa-mwezi-mzima-sh-10-000-tu-19.html

Nipo jijini hapa hayo masuala ya 3g ni kwao tena mitandao yote
 
Jamani nitarudi kutoa fidbak nimeshapewa vocha ya mwezi mmoja bure kabisa na mkuu Mwl.RCT shukurani
 
Last edited by a moderator:
Me nimejiunga na pdproxy!! naona inafanya kazi na line yangu yenye kifurushi tu! nikiweka line yenye 0 Tsh inashndwa kuconect! au kuna maujanja mengine ya kuapply ili niweze kufaid ohondo wa pdproxy?!!

Nahitaji msaada wa tatizo kama ndungu huyu hapa
 
Hatimaye nimeanza kutumia vpn yangu toka kwa mwl. Na hapa naanda utaratibu wa kuleta feedbak kwa picha kabisa.
 
ngoja akusaidie huyu Young Master kwani yeye ni mtalaamu zaidi
Updates
=============================<<<===<<<<<<<<<<<<<<=======================================



jaman nashndwa ku attach screenshot but net imo poa so akina tomaso nimewawakulisha vema anzen iko poa



Salamu kwenu

Hapa nilipo nina troidvpn amboya niliambiwa kwamba ni free 1gb kwa kila siku. Lakini mbona hiyo vpn haiwezi fanya kazi bila kuwepo na kifurushi changu?

Pili kwa mfano nipo hapa nimeunga hyo vpn yenu na nadowload inasomeka hv download spid yake ni kb120/15mb sasa hapa nashndwa kuelewa kuna mb15, halafu naona spidi uchwara na vpn ipo inatazama tu me napata shida.


Na kama niklipa hyo cjui elfu nane nitapata bando au nn hasa kitanisaidia ku surf net?


Nataka kuelewe hapa

Samahani kwa uandishi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom