Nashindwa kutumia inverter yangu

Nashindwa kutumia inverter yangu

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
Nina inverter aina ya Genus 800va, nimeambiwa inaweza kutumika kama back up sestem,kwamba Umeme unapokatika inajiwasha yenyewe. Betri ninazo ,shida ni namna ya kuunganisha,Mwenye ujuzi Tafadhali
 
angalia nyuma ya iyo inverter (ups), kuna waya umeingia kwenye tundu limeandikwa AC INPUT, uo waya chomeka kwenye socket ya nyumbani kwako apo (pale unapochomekea pasi au tv)

then kuna waya mbili, nyekundu na nyeusi, waya mwekundu umeingia katika tundu lisemalo ( BATT +VE 12V ), huu waya utaunga kwenye positive terminal ya betri, na huo mweusi unga kwenye negative terminal ya betri.

"Betri ninazo", sjajua unazo ngapi, kama ni 2, alafu @6V, unga in series la kama ni @12V unga in parallel

nimeashum una ujuzi kiduchu na 'mambo ya umeme', kama huna ita fundi , USIJARIBU!
 
AC INPUT au AC OUTPUT..!!?
 
AC INPUT au AC OUTPUT..!!?

open
 
Ninashukuru sana,kaujuzi kidogo ninako.Jana nilizima main switch, halaf nikaunganisha betri,na kuchomeka ule waya kwenye socket lakn haikutoa Umeme,nikauacha huo waya,nikatumia matundu yaliyopo nyuma ya inverter (a/c outlet) nkaweka waya had kwenye socket nikapata Umeme,nkashindwa kuelewa kwann Umeme haukutoka kupitia ile waya.
 
angalia nyuma ya iyo inverter (ups), kuna waya umeingia kwenye tundu limeandikwa AC INPUT, uo waya chomeka kwenye socket ya nyumbani kwako apo (pale unapochomekea pasi au tv)

then kuna waya mbili, nyekundu na nyeusi, waya mwekundu umeingia katika tundu lisemalo ( BATT +VE 12V ), huu waya utaunga kwenye positive terminal ya betri, na huo mweusi unga kwenye negative terminal ya betri.

"Betri ninazo", sjajua unazo ngapi, kama ni 2, alafu @6V, unga in series la kama ni @12V unga in parallel

nimeashum una ujuzi kiduchu na 'mambo ya umeme', kama huna ita fundi , USIJARIBU!
Pia nauliza kama una manual book(softcopy) naomba nitumie tafadhali
 
Back
Top Bottom