@geneva of Africa, baba mngoni, mama mchagga
12/2/2012 is a deadline kulipa fee ili uruhusiwe kufanya mitihani pale CBE, mdogo wake huyo mwana CBE kalazimika kurudi st Kanumba hii ni baada ya baba yao kufariki two years ago.
Huyu binti ana ofa ya kuwa hawala wa Kanali alijuana naye alipoenda kumtembelea classmate wake (nurse) kazini na kukuta akimuhudumia.
Nilimuuliza jamaa (KANALI ) ana ukimwi.... akanijibu her classmate (O-LEVEL swahiba) kamwambia kwa mujibu wa vipimo walivyonavyo jamaa hana ngoma.
Note: take home yangu 520 000 na nina wadogo kibao anajua sina namna ya kumsaidia kifedha labda kimawazo.