Nashindwa kumuelewa Nape Nnauye

Nashindwa kumuelewa Nape Nnauye

pingu mkoka

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
434
Reaction score
112
Huyu jamaa yupo kigoma na ziara ya pamoja na Kinana.

Sasa anawahutubia wananchi kwamba sisi ccm ni chama makini tutaendele kutekeleza ahadi zetu kama tulivyo waahid,msiwasikilize wapinzan hawana sera.
Anawambia tumeenda KARENGA tumewapiga,tumeenda CHALINZE tumewapiga.
Sasa mimi najiuliza kwani haya majimbo yote hayo yalikuwa ya upinzani au yalikuwa Ya CCM?amempiga nani sasa?
 
Si mliingia kwenye ushindani? Ndicho anachomaanisha Nape, na bado, mpaka muachane na siasa za uana harakati. Kila cku ni kulialia tuu ,
 
Kila chama kilisimamisha wagombea ndiyo maana amesema tukapiga mkataba ulikuwa 2010 tuu baada ya hapo kila mmoja alikuwa huru
 
Sasa kama mlijua majimbo ni ya CCM mlipeleka pua huko ya nini? NAPE anamaanisha mmeshatandikwa!
 
Huyu jamaa yupo kigoma na ziara ya pamoja na Kinana.

Sasa anawahutubia wananchi kwamba sisi ccm ni chama makini tutaendele kutekeleza ahadi zetu kama tulivyo waahid,msiwasikilize wapinzan hawana sera.
Anawambia tumeenda KARENGA tumewapiga,tumeenda CHALINZE tumewapiga.
uliza kwSasa mimi najiani haya majimbo yote hayo yalikuwa ya upinzani au yalikuwa Ya CCM?amempiga nani sasa?

Kwahiyo CHADEMA na Wapinzani wengine walishinda? Hiki ndicho NAPE anachomaanisha Kuwa MMEPIGWA!
 
Huyu jamaa yupo kigoma
na ziara ya pamoja na Kinana.

Sasa anawahutubia wananchi kwamba sisi ccm ni chama makini tutaendele
kutekeleza ahadi zetu kama tulivyo waahid,msiwasikilize wapinzan hawana
sera.
Anawambia tumeenda KARENGA tumewapiga,tumeenda CHALINZE tumewapiga.
Sasa mimi najiuliza kwani haya majimbo yote hayo yalikuwa ya upinzani au
yalikuwa Ya CCM?amempiga nani sasa?

Mkuu ukiona mtu mzima sura inafichama badala yake TUMBO ndo linaonekana ujue hapo hamna kitu

BACK TANGANYIKA
 
Kwahiyo CHADEMA na Wapinzani wengine walishinda? Hiki ndicho NAPE anachomaanisha Kuwa MMEPIGWA!

Nape atuambie watanzania miaka hamsini madarakani ya ccm lakini wameshindwa kuondoa umaskini kwa watanzani ilihali tuna rasilimali nyingi tu,ambazo ndizo zinazo wafaidisha viongozi wa ccm na watoto wao kupitia mgongo wa uwekezaji na wananchi wakiendelea kutaabika kwa nn?
 
hongera kwa kuingia kwenye maisha mapya.MUNGU amsaidie wife hekima ili akusaidie kujifunza kuongoza kwa hekima na namna ya kuongea ....sio kubwabwaja kama ulivyokuwa awali.
 

Attachments

  • Nape.jpg
    Nape.jpg
    44 KB · Views: 336
Hivi zile siku zakujivua magamba hazijaishaga bado?
 
ccm ni madalali mwenyekiti wao anasaini mikataba 17 bilakuisoma halaf Leo wanasema wameleta maisha bora Hawa madalali kulasiku wanasafiri kutafuta wachuuzi wanatudalalia kilakitu itafika wakati watatuuza mpaka wananchi kwa wachina
 
Hahahaa!Nape ana Majungu sana na mi nimemuona ITV akiongea hiyo habari kwa kujiamini nimecheka mpaka nimevunja Glasi,naona amegeuka Comedian nowdays.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nashangaa kijana kabisa aliye kamilika mtanashati anaishabikia Ccm,kimewafanyia nini hiki chama,mnaungua na jua bure,angalien wenzenu matumbo yao!!
 
Back
Top Bottom