Nashindwa kumuelewa Mpenzi wangu

Nashindwa kumuelewa Mpenzi wangu

Basi huyo si wako.anavyofanya ni kukuonesha kuwa hayupo na ww.chukua maamuzi
 
Acha kupoteza mda tafuta maendeleo yako kwani huyo ana mpenzi mwingine lia kama huogopi ukimwi
 
Hapo kweli umependa ila ukishachomoka hapo salama,You wont fall in such a situation again,utakuwa uko determined!
 
ndio za mdada iliyeenda kidato.calm down,saka koloni lingine
 
Anakufanya spare huyo. Tayari anawake mkuu.
 
Hapo kuna shida mkuu kuna side b anakusaidia na kumupa jeuri
 
Habari zenu wana JF.

Hii ni mara yangu ya kwanza kuomba ushauri kwawana jamvi.

Natokea mkoani mara. Kinachonitatiza ni kwamba, nina mpenzi ambae tumedumu nae kwa muda mrefu sasa lakini kuna kipindi tulipotezana kwamuda wa miaka mitatu.

Nahii ni baada ya yeye kuhamishwa shule na kwenda kusomea sehemu ambayo sikuijua. Kwao ni shy-town na mm ni mara. tulikutana shuleni na kuanzisha mahusiano.

kwakweli nilimpenda sana na hata alipokua akiondoka aliniahidi ipo siku tutakutana.

Tatizo linakuja baada ya kumaliza masomo. nilijitahidi kumtafuta na mwisho nilimpata tena.

Nilimuuliza kama anampenzi akaniambia alimpata lakini anamzingua. niliumia sana lakini akaniahidi kua hatarudia kunisaliti.

Sasa yapata mwezi na siku kadhaa nikimpigia simu inakua bize muda mwingi na ninapompata ananiambia nisubiri ana kazi atanitafuta. hakuna siku anayonitafuta na nikirudia kumpigia anakua mkali sana nakuniambia kama simuamini nitafute mwingine nawakati huo nikimuudhi analalamika na kuniambia simpendi. NIFANYEJE? naomba ushauri
Potiii hebu fanya zooom kama unavyojiita mkuu open ur mind brooo kuwa logical achaaaana na ujinga tafta mwingine bhana mbona wapo wengi kuliko sie
 
Back
Top Bottom