Nashindwa kumuacha kabisa

Subiri yakukute, utajua la kufanya...
 
Una umri gani kijana.?
Ukikua utaacha. Hata sisi kaka zako(malijendi) tushawahi pitia hali kama hizo, kuna time itafika mapenzi hayatokusumbua tena.
 
wewe mwanaume au jinsia nyingne?? mtu unaachwa bado unarudi mpaka ujeruhiwe au???? acha upumbavu tafuta pesaaaaa
 
Ashakuoan lofa tu, ujue ana mtu ambaye ndiye anamuoa keki. Atakuwa na wewe kwasababu labda unampa viela vyako napo hajali sana. Things will never be the same again mkuu piga moyo konde achana naye utaishi kwa stress. Wewe kwake kwa sasa ni second choice.
 
Una umri gani kijana.?
Ukikua utaacha. Hata sisi kaka zako(malijendi) tushawahi pitia hali kama hizo, kuna time itafika mapenzi hayatokusumbua tena.
Miaka 22 kaka
 
Shukran mkuu
 
Hivi unampendaje mtu kias hichoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Ukitaka uwa win wanawake kuwa na ego kias flan!! Sio unakuwa na dem unajifanya unapenda sanaaa,,kwanza muoneshe kwamba una options na sio yeye tu!! Mimi dem kama nampenda kulingana na anavyo nipenda yeye,, kama ananipenda kwa 50% me ntampenda kwa 60%!! Mambo ya kushoboka kama fala me sinaga hzo ushamba!!!
 
Hutoshi Wewe Mwenyewe Yaani Unamuacha Halafu Unamrudia, Haa πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£

Hoja Mlendamlenda, Atakusumbua Sana!!
 
Hutoshi Wewe Mwenyewe Yaani Unamuacha Halafu Unamrudia, Haa πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£

Hoja Mlendamlenda, Atakusumbua Sana!!
Yan hakuna kosa kubwa kama hili!!! Yan mkiachana na demu af ww ukaleta kiherehere cha kumtafuta wa kwanza ili mrudiane atakupelekesha huyo mpaka ukome!!
 
Yan hakuna kosa kubwa kama hili!!! Yan mkiachana na demu af ww ukaleta kiherehere cha kumtafuta wa kwanza ili mrudiane atakupelekesha huyo mpaka ukome!!
Dah ni noumaa sana hii
 
Vuta ugoro
 
yup busy hakutafuta mpaka nimtafte mimi naweza kaa hata siku 3 kimya nae hukaa hivyo hivyo hata nikimtisha nikimwambia tuachane yeye anachukulia kawaida tuu anajibuni"poa "
Kwanza wewe ni mpumbavu!

Na nimekuita mpumbavu sio kwamba nimeteleza la hasha ila ndio uhalisia maana hata kuandika hujui! which proves wewe ni mpumbavu/mjinga!

Kwa sababu wewe mpumbavu/mjinga ushauri mrahisi nnao weza kukupa ni kwamba hapo huna chako. Na kama unajipenda ONDOKA HARAKA UWEZAVYO.

Ila nasikitika kwa upumbavu/ujinga wako wenda usifanyie kazi ushauri wangu.
 

Nilishawahi kupitia wakati mgumu kama huo unaopitia lakini let me tell you something broo

Ukiona dalili mpenzi wako ameanza kujitenga na wewe hapo kuna mambo Makuu matatu

1.la kwanza inawezekana huyo mwanamke ameona katika mahusiano yenu hakuna future anayoiona hivyo anatafuta nafasi ya kutokea aendelee na maisha yake

2.la pili anaona unampotezea muda wake vitu alivyotarajia toka kwako havioni na haoni mabadiliko yeyote

3.la tatu kuna dalili mpenzi wako ameanza kukusaliti taratibu kuna mtu ameanza kumpa vitu ambavyo wewe hawezi kukupa

4.la nne anapima upepo akuone moyoni mwako kama unampenda kweli

Ushauli wangu : tafuta muda uzungumze nae face to face umsikilizie lakini pia anza kujitathimini wapi ulipojikwaaa mwisho wa siku uamuzi ni wako

Kubaki au kuendelea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…