AndreRieu
Member
- Oct 23, 2023
- 81
- 93
Wakuu habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko nasoma nae hapa chuo X,, ni binti tu mrembo, mweusi (weusi ndio naaminia) na ni very smart. Huyu binti wiki iliyopita nilimfuata na nikamweleza hisia zangu kwake akadai kwamba tutaongea, nikajipa moyo kwamba huenda binti atanikubali uwakika. Wakuu nimekuja kukutana na binti siku chache zilizopita but kwanza anadai kwamba eti ni aliwahigi kuumizwa,,, means hataki kujihusisha na mapenzi tena,, anadai kwamba hakuna mtu mwenye anachukia kama wanaume,, binti huyu anadai kuchukia wanaume mbele yangu wakuu Na mimi ndio nampenda hatari,, Kwake anaona mapenzi ni kama kitu flani hivi cha ajabu hataki hata kusikia.
Nifanyaje kumpata wakuu??
NB: Nampenda sana
Nawasilisha,