nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 208
- 435
Pesa ya mwisho wa mwezi ni ngoja ngoja sana, lakini pesa ya kila siku saloon pia tamu, nashindwa kujigawa nikapiga kote kote. Naomba mwenye kunishauri katika situation kama hii. Ndo kwanza nataka kafungua hii salon kuweka mtu nasikia hua wanapiga sana. Hii ni kutokana na kutaka plan B ya sosi of income. Usinitukane nishauri tu kirafiki. NB nipo private.